Wanachadema Wameupotezea Mkutano wao Wa Tarime?

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
21,776
Reaction score
34,761
Siku ya jana kulikua na mkutano wa chadema huko tarime. Mwenyekiti Kama kawaida aliunguruma. Kilichoshangaza wanachadema wengi hawakuzungumzia huu mkutano.

Nimepita kwenye accounts nyingi za viongozi wa chadema na wanachadema Ila sijaona wakizungumzia mkutano wa tarime.

Nini sababu ya yote haya? Je Hali hii ikiendelea mikutano mingine itakuwaje?
 
Utapata taabu san mwaka huu, yaan mtatema ndoano kulalaaleekii!! Mlizoe funga, tesa, uaaaa, filisi wape kesi za uhujumu uchumi, washughulikie huko ndan bungeni wakitoka nje ntawashughuliki!! Shindweni Pepopunda!!
 
Maisha magumu ndio habari ya mjini kwa sasa!

Wananchi wanapambana na hali zao ngumu kimaisha mtaani!

Na wanasiasa pia wanapambana na hali zao majukwaani pia!

Kila upande una maslahi yao binafsi!

Kama ilivyo kwa wanasiasa na funguo la mikutano na katiba mpya!

Wananchi wao wanapambana na Tozo ikiandamana na Mfumko wa bei.

Kwa hiyo kila upande unaongelea yale yanayousibu kwa sasa!
 
Utapata taabu san mwaka huu, yaan mtatema ndoano kulalaaleekii!! Mlizoe funga, tesa, uaaaa, filisi wape kesi za uhujumu uchumi, washughulikie huko ndan bungeni wakitoka nje ntawashughuliki!! Shindweni Pepopunda!!
Hehe hii nchi kazi kwelikweli
 
Mkuu tafuta fedha,kama Chadema unakiona ni chama mfu ,unasumbuliwa na nini?kila siku wewe ni mada za Chadema tu why?,kuweka au kutokuweka au kutoongelea mkutano wao nini kinakusibu?,playing field ya kisiasa nchini imeanza kuwa level, subiria
Siku ya jana kulikua na mkutano wa chadema huko tarime. Mwenyekiti Kama kawaida aliunguruma. Kilichoshangaza wanachadema wengi hawakuzungumzia huu mkutano.

Nimepita kwenye accounts nyingi za viongozi wa chadema na wanachadema Ila sijaona wakizungumzia mkutano wa tarime.

Nini sababu ya yote haya? Je Hali hii ikiendelea mikutano mingine itakuwaje?
 
Siku ya jana kulikua na mkutano wa chadema huko tarime. Mwenyekiti Kama kawaida aliunguruma. Kilichoshangaza wanachadema wengi hawakuzungumzia huu mkutano.

Nimepita kwenye accounts nyingi za viongozi wa chadema na wanachadema Ila sijaona wakizungumzia mkutano wa tarime.

Nini sababu ya yote haya? Je Hali hii ikiendelea mikutano mingine itakuwaje?
Mbona hufuatilii hotuba za mwenye chawa?
 
Mkuu tafuta fedha,kama Chadema unakiona ni chama mfu ,unasumbuliwa na nini?kila siku wewe ni mada za Chadema tu why?,kuweka au kutokuweka au kutoongelea mkutano wao nini kinakusibu?,playing field ya kisiasa nchini imeanza kuwa level, subiria
Sijaelewa ulichoandika
 
Utapata taabu san mwaka huu, yaan mtatema ndoano kulalaaleekii!! Mlizoe funga, tesa, uaaaa, filisi wape kesi za uhujumu uchumi, washughulikie huko ndan bungeni wakitoka nje ntawashughuliki!! Shindweni Pepopunda!!
Kunywa maji mwanangu
 
Siku ya jana kulikua na mkutano wa chadema huko tarime. Mwenyekiti Kama kawaida aliunguruma. Kilichoshangaza wanachadema wengi hawakuzungumzia huu mkutano.

Nimepita kwenye accounts nyingi za viongozi wa chadema na wanachadema Ila sijaona wakizungumzia mkutano wa tarime.

Nini sababu ya yote haya? Je Hali hii ikiendelea mikutano mingine itakuwaje?
Wanagawana mbao muda simrefu.
Mark my words.
 
Labda mura tata Peter Zakaria hakuwapatia pesa za kujikimu
 
Siku ya jana kulikua na mkutano wa chadema huko tarime. Mwenyekiti Kama kawaida aliunguruma. Kilichoshangaza wanachadema wengi hawakuzungumzia huu mkutano.

Nimepita kwenye accounts nyingi za viongozi wa chadema na wanachadema Ila sijaona wakizungumzia mkutano wa tarime.

Nini sababu ya yote haya? Je Hali hii ikiendelea mikutano mingine itakuwaje?

Ngwear FT Mirror - Maskini WENZANGU​

Intro: cowwizy ,ybm

Verse 1:
wachache ndo wanaishi wengi wetu ma escorts,
twiga wanapanda pipa hata bila ya passports,
mikoa mingi bado haina hata airports,
zaidi ya migodini madini kuya export,
bila ya wazawa kufaidika,
ndo mana wazanzibara wamechoka kutanga na nyika,
big up Mandela leo South sio Africa,
waliotangulia kupata uhuru bado wanapigika,
bidhaa zilizo expire kutubambika,
meli zinazidi zama wengi daily tunawazika,
wenye hali duni ndo tunao athirika,
wao ma vx yao ni special order uhakika,
tutalia machozi ya damu mpaka yata form bahari,
na tutaogelea wenyewe na watu hawajali,
leta mgomo baridi uijue serikali then muulize Ulimboka umuhimu wa Madaktari let's go

Chorus
(bado nalia tu na Tanzania yangu/kweli mali ni nyingi wale wachache wenzangu/me nalia na masikini wenzangu/eeh baba Mungu sikia kilo changu/issue is harder tuna suffer/sikia kilio changu/issue is harder tuna suffer/me nalia like..........)

Verse 2:
viongozi wa siasa kama viongozi wa dini,
mengi wanaongea coz silaha yao ni ulimi,
mh.spika Tanzania huru inazidi zeeka tayari ni miaka 50,
mengi mmetuahidi pia ahadi ni deni,
pia tunatambua umuhimu wa UN,
kupinga h.I.v,umaskini na rushwa and,
mabilioni yanayotumika kwa campgain,
kama za kupinga unyanyasaji wa watoto,
zisiishie kwenye promo na kuwalisha bado ndoto,
ishu sio kutupiana maneno bungeni,
bali watoto watoke mtaani warudi shuleni
,mkulima shambani anahitaji usafiri wa treni,
nyie piteni angani mazao yake muuzieni,
mpeni bei nzuri aweze mudu zaidi ya trector,
ni mawazo tu DIC usione nakuTATOR

(chorous)

Verse 3.
Tanu ilifanya kazi kubwa 61,
solution sio labda nchi wachukue upinzani,
bali mtanzania wa chini anaishi maisha gani,
watu wanakufa kwa njaa iweje tujivunie amani,
ni mengi tu mazuri yamefanyika mpaka sasa,
ila naamini bado tungekuwa mbali(hivi babu wa Loliondo nae inawezekana tu ilikuwa ni siasa)NO !(Lakini iko wapi hii kaburi ya Balali !?) Men ! Jibu unalo so usiulize swali,una dini ?
Mkristu sali na Muislam swali coz,
bado tunaishi ki mungu mungu,
Baada ya m weka z usikie kizungu zungu jinsi ukoloni unafanya mambo mpaka leo,
kuongoza jamii sio kumtawala mkeo,
najiuliza maisha yangekuwaje bila mziki,
hivi mtaani ingekuwa vp ? Ingekuwa mziki ...

(Chorous)

outro yeah chamber squad baby,one love,Tanzania,Muro jr I see ya ......
Till fade
 
Back
Top Bottom