Nimekutana na Kada mmoja wa Chadema Jimbo la Ilala katika mazungumzo akanishangaza sana.
Kuna ujenzi wa Chama ndani ya Chama unaofanywa kwa kitu kinaitwa CHADEMA Msingi. Anadai viongozi waliojenga Chama mpaka leo wanawekwa kando na hawashirikishwi kwenye jambo lolote. Ukihoji tu unaitwa msaliti na umepewa rushwa.
Anadai hata makada mashughuri wanaitwa wasaliti eti nao wanahabari za kiiteligensia.
Mnaofahamu kinachoendelea mje mtujuze. BAVICHA matusi hayatakiwi jibuni hoja.