Prince Hope
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 2,154
- 447
Wadau,
leo majira ya saa nane na nusu mchana nilikuwa jijini Arusha katika maeneo ya corner ya Philips, hiki ni kijiwe maarufu cha cdm, mida hiyo niliona gari ya cdm, toyota hilux double cabin yenye maandishi ya M4C, kawaida gari hii ikipita mitaa hiyo huwa kunakuwa na shangwe na miluzi ya vijana lkn leo vijana wote walikaa kimya na kuiangalia tu huku wakiendelea na kazi zao, binafsi naona watu hawapo happy na huu mgogoro unaoendelea, cdm mkiipoteza ars mmekwisha,jipangeni.
Siasa za Arusha tuachie wana-Arusha, twazijua wenyewe. Wewe ungetaka watu washangilie gari?
Afu siyo yote uyaonayo unayaleta humu!
wadau,
leo majira ya saa nane na nusu mchana nilikuwa jijini arusha katika maeneo ya corner ya philips, hiki ni kijiwe maarufu cha cdm, mida hiyo niliona gari ya cdm, toyota hilux double cabin yenye maandishi ya m4c, kawaida gari hii ikipita mitaa hiyo huwa kunakuwa na shangwe na miluzi ya vijana lkn leo vijana wote walikaa kimya na kuiangalia tu huku wakiendelea na kazi zao, binafsi naona watu hawapo happy na huu mgogoro unaoendelea, cdm mkiipoteza ars mmekwisha,jipangeni.
watu wamechoshwa na upuuzi wa lema. Sio philips tu, ukipita maeneo ya mwanama, ngulelo, ngaramtoni ya juu, mgusero, mbauda, sakina, esso, ungalimited, matejoo kwa giriki, sanawari, mianzini, ilboru, kimandolu, tengeru, njiro, daraja mbili, sinon, sombetini, kwa mromboo, majengo, kisongo, sekei, moshono etc huku kote wamechoka kusikia kitu inaitwa chadema, wanasubiri uchaguzi tu wawape haki yao!!!
we div 5 mulugo ficha u div 5 sio sifa kudhibitishia umma u div 5 wako
chadema inasambaratika arusha au kwisha kwa kuwa gari la m4c halijapigiwa miluzi na makofi na vijana wa kijiweni tathimini yako iko ki div 5 zaidi
Wadau,
leo majira ya saa nane na nusu mchana nilikuwa jijini Arusha katika maeneo ya corner ya Philips, hiki ni kijiwe maarufu cha cdm, mida hiyo niliona gari ya cdm, toyota hilux double cabin yenye maandishi ya M4C, kawaida gari hii ikipita mitaa hiyo huwa kunakuwa na shangwe na miluzi ya vijana lkn leo vijana wote walikaa kimya na kuiangalia tu huku wakiendelea na kazi zao, binafsi naona watu hawapo happy na huu mgogoro unaoendelea, cdm mkiipoteza ars mmekwisha,jipangeni.
Kwanza hakuna kitu kinachoitwa Corner ya Philips hapo A town! Na ni kijiwe kipi unachozungumzia kwani sana sana kuna taxi chache na boda boda zinazopaki hapo!
Umetumwa? peleka upuuz wako lumumba fc!
Watu wamechoshwa na upuuzi wa LEMA. Sio Philips tu, ukipita maeneo ya mwanama, Ngulelo, Ngaramtoni ya juu, Mgusero, Mbauda, Sakina, Esso, Ungalimited, Matejoo Kwa Giriki, Sanawari, Mianzini, Ilboru, Kimandolu, Tengeru, Njiro, Daraja Mbili, Sinon, Sombetini, Kwa Mromboo, Majengo, Kisongo, Sekei, Moshono etc Huku kote wamechoka kusikia kitu inaitwa CHADEMA, wanasubiri uchaguzi tu wawape haki yao!!!
Siasa za Arusha tuachie wana-Arusha, twazijua wenyewe. Wewe ungetaka watu washangilie gari?
Afu siyo yote uyaonayo unayaleta humu!
Mwanza kumekucha hii ni nukuu kutoka mwanza:
good. tuko pamoja mkuu. Huku mwanza tamko mtaliona ktk ITV tumefunga break wasaliti kujipitisha kwa jina la chadema
Mleta mada subiri jibu lako Sombetini...
Kushangilia inategemea na mood ya siku. So usijali sana rafiki yangu tuko pamoja