Wanachadema Arusha vp tena?

Kubali ukweli acha ushabiki usiyofaa. Hao wanawaza mengi ikiwa ni pamoja na wamiliki wa chama kuchukua mpunga toka kwa mzee wa musoma na kutosimamisha mgombea kwa awam tatu. Uzinzi wa wamiliki wa chama. Utekaji nyara kwa sasa imebainika wamiliki chama ndiyo wanaopanga na haraka haraka kusingizia polisi mfano ni Dar. Nk.
 

Hadithi hii inakufundisha nini?? Haya kakojoe ukalale.
 
Wewe!!!Arusha watu sio mataahira,wanajitambua vyema ukiona wameshangilia kuna sababu sio mikurupuko kama wale wa ccm na cuf wanaoweza hata kununuliwa kumshabikia zuzu msanii aliyefikiri WATANZANIA NA HASA WANACHADEMA NI MANUNDA kiasi kwamba awasaliti na wasitambue kwamba amenunuliwa."WATU WAKO KWENYE HOJA ZA MSINGI SIO ZITO UKIMSIKIA MTU ANAMTETEA ZITO ARUSHA BASI UJUE HUYO NI CCM AMA CUF".
 
Nahisi watu bado wanawatafuta watu wa A town manake wakati wa uchaguzi mdogo wa wadiwani mlichonga sana lkn mkapigwa 4-0 sasa mnaanza ohh wanachama wa arusha sie yetu macho na masikio hii ndio r.chugga.
 
Nahisi watu bado wanawatafuta watu wa A town manake wakati wa uchaguzi mdogo wa wadiwani mlichonga sana lkn mkapigwa 4-0 sasa mnaanza ohh wanachama wa arusha sie yetu macho na masikio hii ndio r.chugga.
 

kichwa chako ni kwaajili ya kunyoa kiduku. tu
 

Labda uliota tu, lakin upo Tanga.
 
Acha upuuzi ndo maana unataka kuolewa na zito, harusi yenu lini vile?????
 
Nawahakikishia kuwa Mbowe, Slaa,Mnyika,Lema,Sugu,Msigwa,Tundu Lisu hawa wote ni mbwa mwitu na mashetani hatari sana mbele ya Chadema chakavu. Kumbuka ngoma ikivuma sana haikawii kupasuka. Ngoma ya watoto haikeshi na pia mtoto mchanga halali na hela, mtoto mdogo hulala na mavi yake kwenye nepi. Chadema ni sawa na mtoto mchanga. pia ikumbukwe kuwa chadema watakufa wameegemea choo.
 

Zitto kakutuma upost hii ujinga tafuta mazuzu uwadanganye
 

Utapata jibu la udaku wako tarehe 9.2.2013
 

Hiyo unayosema we nadhani Arusha ya Kigoma ambayo naibu katibu mkuu anatetea ubunge wake tu na kata moja turn kwenye jimbo lake kama haitoshi anauza majimbo kadhaa mengine Halafu anarudi Ars ya Kgm wanamuona shujaa.
 

Udaku mbaya ndugu yangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…