Wanachadema Arusha vp tena?

Simchezo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
463
Reaction score
374
Wadau,
leo majira ya saa nane na nusu mchana nilikuwa jijini Arusha katika maeneo ya corner ya Philips, hiki ni kijiwe maarufu cha cdm, mida hiyo niliona gari ya cdm, toyota hilux double cabin yenye maandishi ya M4C, kawaida gari hii ikipita mitaa hiyo huwa kunakuwa na shangwe na miluzi ya vijana lkn leo vijana wote walikaa kimya na kuiangalia tu huku wakiendelea na kazi zao, binafsi naona watu hawapo happy na huu mgogoro unaoendelea, cdm mkiipoteza ars mmekwisha,jipangeni.
 

Mwanza kumekucha hii ni nukuu kutoka mwanza:

good. tuko pamoja mkuu. Huku mwanza tamko mtaliona ktk ITV tumefunga break wasaliti kujipitisha kwa jina la chadema

Mleta mada subiri jibu lako Sombetini...
 

Unadhani ni kwa sababu ya Zitto?
 
Magamba at work.
 
Arusha hawaipendi chadema kama chadema, wao adui wao ni ccm. Hata leo chausta kikionyesha muelekeo pia itakubalika arusha. Kwa kifupi arusha ni kheri kuacha kupiga kura kuliko kuwapigia ccm. Mara nyingi wanasisitiza kuwa ni bora hata ukimwi kuliko ccm
 
Watu wamechoshwa na upuuzi wa LEMA. Sio Philips tu, ukipita maeneo ya mwanama, Ngulelo, Ngaramtoni ya juu, Mgusero, Mbauda, Sakina, Esso, Ungalimited, Matejoo Kwa Giriki, Sanawari, Mianzini, Ilboru, Kimandolu, Tengeru, Njiro, Daraja Mbili, Sinon, Sombetini, Kwa Mromboo, Majengo, Kisongo, Sekei, Moshono etc Huku kote wamechoka kusikia kitu inaitwa CHADEMA, wanasubiri uchaguzi tu wawape haki yao!!!
 
Siasa za Arusha tuachie wana-Arusha, twazijua wenyewe. Wewe ungetaka watu washangilie gari?


Afu siyo yote uyaonayo unayaleta humu!
 


....elimu ya watu wazima irudishwe Tanzania!!!
 
We jamaa jipange upya.umetoka usingizini huna cha kuandika unakurupuka...Arusha tunawaangaalia tu si hatubongi sana.kura tu ndio sauti yetu.Viva chadema
 

Subiri sombetini ndio utajua Arusha wakoje, wenzako wanatafakari umeme kupanda bei tena wana hasira kuliko subiri uone. Tena na mgao wa umeme ndio usiseme.
 
Siasa za Arusha tuachie wana-Arusha, twazijua wenyewe. Wewe ungetaka watu washangilie gari?


Afu siyo yote uyaonayo unayaleta humu!
Tusaidie Arusha CHADEMA imefanya nini? Mimi nakubaliana na wale wanaosema kisichopendwa ni CCM, Arusha hata uchaguzi wa 1995 Mrema wa NCCR-Mageuzi alipata kura nyingi.
 
Watu wamechoshwa na upuuzi wa CCM. kuanzia Philips tu, ukipita maeneo ya mwanama, Ngulelo, Ngaramtoni ya juu, Mgusero, Mbauda, Sakina, Esso, Ungalimited, Matejoo Kwa Giriki, Sanawari, Mianzini, Ilboru, Kimandolu, Tengeru, Njiro, Daraja Mbili, Sinon, Sombetini, Kwa Mromboo, Majengo, Kisongo, Sekei, Moshono etc Huku kote ni Chadema mdundo ole wako upite na kikofia kama cha huyu Msalani aka Choo utaona kipigo utakachoshushiwa

 

4 - 0 .
 
We jamaa jipange upya.umetoka usingizini huna cha kuandika unakurupuka...Arusha tunawaangaalia tu si hatubongi sana.kura tu ndio sauti yetu.Viva chadema

Pholipis kuna siku lema kapigwa pale nanasari wale vijana hawataki ujinga wa lema na mbowe wamepatanishwa wakagoma
 

nahisi kichefuchefu... Au kuna mtu ameharisha humu ndani jamani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…