Kwa maana hiyo unamaanisha CDM"Ukiona adui yako anakusifia ujue unalofanya ni kwa faida yake,lakini ukiona anapiga kelele kuwa umekosea unalofanya ni sahihi kabisa, endelea tena kwa nguvu zaidi" J K Nyerere. 1983 Kampala Uganda
Huna jipya mkuu
Waendelee na halakati zao kwa sababu nyie ccm kila siku mnapiga kelele kila walifanyalo CDM wanakosea ila iko siku utakuja lamba matapishi yako na hivi magamba hata mshipa wa aibu hamna kabla jua halijakuchwa lazima uombe kuhamiz CDM sijuwi utauweka wapi uso wako.
"Ukiona adui yako anakusifia ujue unalofanya ni kwa faida yake,lakini ukiona anapiga kelele kuwa umekosea unalofanya ni sahihi kabisa, endelea tena kwa nguvu zaidi" J K Nyerere. 1983 Kampala Uganda
[/U][/I][/U]
Muoneeni hurumajamani nepi, akifukuzwa atapata wapi hela ya kununulia vipodozi?
Taarifa kutoka kwa mjumbe mmoja wa CCM zinaeleza wanaCCM wengi hawafurahishwi na mwendo wa kijana huyo. Wanadai ameshindwa kukisaidia chama kuondokana na makundi yanayokitafuna kila siku zaidi ya siasa zake za makundi inaelekea bila ccm kuwasikiliza wazee nape anasaidia sana chadema kuwa maarufu.
Mzee mmoja kanda ya ziwa amesema wazi kuwa kitendo cha nape kuzungumzia chadema kila kukicha kinawaudhi wanaccm, alipozungumzia ukaskazini alisema kijana hajakomaa huwezi kuitenga jamii eti kwa kuwa wanasapoti upinzani, mwingine akasema mbona zanzibar hatukuitenga sababu ya CUF?
Mama wa chama wa siku nyingi alisema inabidi nape aombe radhi au ajisafishe sababu anazidi kukibomoa chama mchana kweupe.
Kwa hiyo ukisifiwa ujue unalofanya ni kwa faida ya wanaokusifu, sawa? Je, ni nani hao wanaokusifu na kwa lipi unalolifanya?Ukiona adui yako anakusifia ujue unalofanya ni kwa faida yake,
Je, na wewe unapopiga kelele kuwa wamekosea ina maana wanalofanya ni sahihi kabisa na kwa msingi huo na wao waendelee kwa nguvu zaidi?lakini ukiona anapiga kelele kuwa umekosea unalofanya ni sahihi kabisa, endelea tena kwa nguvu zaidi
Tuache longolongo,Nape ni mchapa kazi,tatizo itikadi tofauti tu,wivu wa kumuona anavimba kwenye V8 msiulete humu,ipo siku rangi ya gwanda anazovaa itabadilika tu
"Ukiona adui yako anakusifia ujue unalofanya ni kwa faida yake,lakini ukiona anapiga kelele kuwa umekosea unalofanya ni sahihi kabisa, endelea tena kwa nguvu zaidi" J K Nyerere. 1983 Kampala Uganda
[/U][/I][/U]