ukawa2020
JF-Expert Member
- Apr 1, 2016
- 339
- 1,314
Unga bei kwa mwaka mmoja imepaa kutoka 1000 hadi 1500 sembe, michele haushikiki, sukari bei yake weka mbali na masikini, mafuta acha kabisa.
Hivi CCM niwaulize mlikosa mtu wa kutuletea kweli? Au nyie mna maduka yenu uko mitaani? Mwambieni sisonje, maskini tunampenda kweli akamatie hapo hapo.
# Kichinjio changu kiko vuzuri 2020
Hivi CCM niwaulize mlikosa mtu wa kutuletea kweli? Au nyie mna maduka yenu uko mitaani? Mwambieni sisonje, maskini tunampenda kweli akamatie hapo hapo.
# Kichinjio changu kiko vuzuri 2020