WanaCCM tuheshimiwe kwenye magroup Whatsapp

WanaCCM tuheshimiwe kwenye magroup Whatsapp

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,533
Reaction score
3,837
Kwenye magroup ya marafiki, chuo na makazini sisi wanachama wa CCM tumekuwa tukirushiwa vijembe sana na wapenda mabadiliko mpaka aibu.

Kwanza kwenye kila group unakuta tupo wanaCCM wawili halafu wapinzani ni 98 sasa kwenye kubishana nao huwezi.

Sisi waCCM unakuta hatuna hoja, tunaishia kusema mgombea wenu fisadi wakituuliza kwanini hatujampeleka mahakamani tunakosa cha kuongea. Kiukweli tunadharaulika sana tunaonekana ni watu tusio na maana kwenye jamii.

Wengine ni wanaCCM wenzetu lakini kwenye magroup wanakaa kimya kwakuwa wanaona aibu kujisema wao ni CCM, wengine tukizidiwa tuna left.

CCM ninaipenda sana lakini kura yangu nitampa LOWASSA na nitailinda.

cc: FaizaFoxy Lizaboni
 
Last edited by a moderator:
Ccm wamejitoa sana katika magroup ukweli unauma.Ni aibu kuwa mwana ccm
 
Washabiki wengi waukawa siasa wameanza kuzifuatilia jana!
Tunaoyajua ya 1995 hatushangai, tunasubiri 25 tu tumkate huyo fisadi
 


CCM ndio baba "CCM yajenga nchi"

CCM ndio mama "CCM yajenga nchi"


Tuwe karibu tuwe wamoja "CCM yajenga nchi" (watanzania)

Tusifanye makosa ya kuchagua mafisadi na matapeli wa siasa kama akina Mbowe wanaomtumia mgonjwa asiyejitambua na wao wenyewe awana mbinu za kututoa kwenye changamoto zilizopo "CCM yajenga nchi"

Long live CCM
 
Last edited by a moderator:


CCM ndio baba "CCM yajenga nchi"

CCM ndio mama "CCM yajenga nchi"


Tuwe karibu tuwe wamoja "CCM yajenga nchi" (watanzania)

Tusifanye makosa ya kuchagua mafisadi na matapeli wa siasa kama akina mbowe wanamtumia mgnjwa asiyejitambua na wao wenyewe awana mbinu za kututoa kwenye changamoto "CCM yajenga nchi"

Long live CCM


Hatimaye mgonjwa kamaliza kampeni na tarehe 27 anatangazwa mshindi.
 
Last edited by a moderator:
Hatimaye mgonjwa kamaliza kampeni na tarehe 27 anatangazwa mshindi.

TZZ-2.jpg


Mgombea halali wa CCM na mwenye sifa sahihi anayekubalika na chama John Pombe Magufuli kwenye kutetea maslahi ya raia na Tanzania.

IMG_2587.JPG


Mgombea mwenye maslahi binafsi na anaetetea kundi la wachache CCM iliyomshtukia kumkata wachilia mbali ya kuwa ni mgonjwa; mafisadi wameweza kununua chama kizima na umoja wao



CCM ndio baba "CCM yajenga nchi"

CCM ndio mama "CCM yajenga nchi"


Tuwe karibu tuwe wamoja "CCM yajenga nchi" (watanzania)

Copy aiwezi kuwa bora kushinda orginal; Chagua Magufuli usifanye makosa.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ndio maana unaitetea kwa bidii Home Shopping Centre



CCM ndio baba "CCM yajenga nchi"

CCM ndio mama "CCM yajenga nchi"


Tuwe karibu tuwe wamoja "CCM yajenga nchi" (watanzania)

Tusifanye makosa ya kuchagua mafisadi na matapeli wa siasa kama akina Mbowe wanaomtumia mgonjwa asiyejitambua na wao wenyewe awana mbinu za kututoa kwenye changamoto zilizopo "CCM yajenga nchi"

Long live CCM
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ndio maana unaitetea kwa bidii Home Shopping Centre

quote-small-nations-are-like-indecently-dressed-women-they-tempt-the-evil-minded-julius-nyerere-79-83-46.jpg



6ce0mapacha-watatu-560x248.jpg


Say no to evil minded "chagua CCM acha ulofa" hakuna mabadiliko na Lowassa ni kiongozi wa watu wasiotutakia mema.

MMGL0450.jpg


Hii ni sehemu ya biashara tu kwa mafisadi
 
CCM ni jini linalotakiwa kutolewa Tanzania na kutupwa kuzimu...

Wanaoishabikia CCM wengi wao hata hawaelewi kwa nini wapo huko...

Kuna mijitu ukiiuliza chochote inaishia kupayuka 'Hapa kazi tu'...

Mwaka 2005 ilikuwa kama hivi, kila mwanaCCM alipagawa na Kikwete lakini baadaye shubiri yake waliipata...

Sasa kwa kuwa watu hawa ni mazumbukuku, mwaka 2015 wanarudia kosa lile lile la kusahau chama chao ni jini na kina Magufuli etc ni vessels tu na hawawezi kutenda kinyume na jini CCM...
 
Tanzania kesho tutakuwa tunafunga kampeni
CCM tunapaswa kufanya matumizi bora ya jukwaa,
kesho tuimbe wote kwa pamoja!
CCM mbele kwa mbele ni wimbo wetu wa msimu lazima tumalize nao.
ila nyimbo hizi tatu huwaga ni hamasa sana watanzania wakiimba pamoja
1. wimbo wa taifa (Mungu Ibariki Tanzania)
2. Wimbo wa tazama ramani
3. wimbo wa Tanzania nakupenda kwa moyo wote
hawa wasanii vijana waliojitolea kuwa team yetu basi na waongoze kuimba hizi nyimbo tukianza na kufunga mkutano.

Mgombea na mwenyekiti kwa pamoja msitumie zaidi ya dk 50
Kikwete utumie 15 minutes na Magufuli dk 35
Kikwete uage na kuwashuru watanzania lakini rekodi zako ni nzuri sana ktk maeneo mengi ya huduma za jamii. kuna rekodi nyingi zikionesha hilo. kuna changamoto hakuna anayekataa.
mafanikio
1. elimu (enrollment ktk kila level kuanzia kindergarten hadi university iliongezeka sana, wape takwimu watanzania
2. uchumi - reports za UNDP zinaonesha hilo, kwamba awamu ya 4 imeipandisha Tanzania hatua zaidi ya 5 ktk rank ya uchumi duniani
3. Afya - mfano JK heart institute
4. mawasiliano na uchukuzi - tv, radio, simu ikwemo banking systems za simu, etc
5. michezo, sanaa, muziki na utamaduni
6. demokrasia
Changamoto
1. ufisadi na kushindwa kuwajibika kwa baadhi ya watumishi wa umma
2. mfumuko wa bei

Tinga tinga wewe una dk 5 za mwanzo na 5 za mwisho kusema juu ya mipango yetu! hizi dk 15 - 20 tumia unavyotaka, sisi tutakusamehe hata ukicheka tu, ila dk 5 za mwanzo na 5 za mwisho hizi lazima utumie kumtandikia mpinzani wetu.
chondechonde kaka usitukane maana watu wengine pia wanaweza kuja kumpa adui kura za huruma.

Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki J.P. Magufuli

Njia yenu na iwe giza na utelezi, Malaika akiwafuatia.

Hasira ya Mungu idhihirike kwenu, mlipe hadharani gharama ya mateso mliyowapa Watanzania.

Mungu aharibu lugha yenu na silaha zenu ziwe juu ya vichwa vyenu.

Mfedheheke msiwe na mfariji.

Anguko lenu liwe kilemba juu ya vichwa vyenu.

Kiburi na maovu yenu, yatangulie njia ya hatima yenu.

Ee Ccm, kuko wapi kujivuna kwako? Dharau na uchawi wako hautakuokoa.

Bwana Mungu amekukusudia maovu juu ya kichwa chako kwa sababu ya kiburi na maasi yako.

Umemwaga damu isiyo na hatia. Umitia nchi unajisi, umejitukuza juu ya Mungu. Hila zako na nia zako mbaya zimeliangamiza taifa. Umeongeza Yatima na wajane katika nchi. Umelitia taifa teule utumwani. Kwa kiburi chako hukutubu wala hukuonyesha kujali. Ulizidi kupanga uharifu na ukanoa meno yako kama upanga wa vita. Kucha zako ni upanga mkali wa vita. Hukumhurumia mnyonge, wala maskini.

Mungu ameikomesha Ccm. Ccm umeanguka na hakuna atakayekuinua. Umekuwa dhihaka usoni pa dunia. Habari yako iwe kumbukumbu mbaya katika vizazi vyote.

Naam Mungu amekukomesha, umenguka na kumbukumbu lako limefutika. Mahala pako hapatasikika tena.

Ni nani atakayekusaidia Ee ccm ikiwa Mungu amekukataa? Sasa umekufa ajlli ya kiburi chako na hutasimama tena.

Njia yako kuanzia sasa ni giza na utelezi huku Malaika akikufuatia ili kusimamia mauti yako.

Ccm mtesi wa Watanzania umekuwa historia na fundisho kwa waendao kwa kiburi, dharau, dhihaka na udharimu dhidi ya haki.

Natamka kifo cha ccm kuanzia sasa. Watu wote waseeme
"AMEN".
 
Viva ukawa. Ccm tapatapa mwaka huu. Lazima ccm ife hakuna namna nyingine
 
Jaman ni usiku sasa umeenda mnoo gari la Matangazo linapita usiku huu et Watu wajitikeze kesho kinana atakua na Mtoto wa LOWASA akiongea na kupinga kua Baba ake HAFAI KUA RAIS!!!!

Ikumbukwe hapa ifakara CCM imekufa kitambo vijiji 33 CCM Ilipata vitatu tu na chadema kuzoa 30!

Mama Salma kahutubia hapa juzi hali ilikua mbaya watu wachache utazan wanavunja kikoba!!!!!!

Kuna tetes pia kuwa MKUU WA KAYA alikua na vikao vya siri siku ya jana hapa Ifakara!!!

Pia leo mji ulisimama kwa ujio wa lowassa hapa na wamepata Mshtuko mno!!!

Sasa huyo FREDRIC LOWASSA sijui nikwel kua atakuepo kumpinga BABA YAKE au ni Technique yakupata mafuriko kuficha aibu??????

Nakwann gari lipite sa saba hii kutangaza au waliogopa mawe kwan tumewachoka??????

Nitawapa update Makamanda!!
 
CCM inachukiwa na nmamilioni ya Watanzania wala hilo halina kificho kabisa. Ndio maana hawataki tulinde kura zetu kwakuwa tabia ikiwa kama ngozi haijifichi hivyo wataiba kama kawaida YAO.
Mungu na atupe nguvu zaidi za kupambana na haya mashetani ili ile Tanzania Mungu aliyoipa neema ya kila kitu ipatikane, ila kazi yetu ni kumkataa SHETANI ambaye ni Chama Cha Mashetani aka CCM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom