Tanzania kesho tutakuwa tunafunga kampeni
CCM tunapaswa kufanya matumizi bora ya jukwaa,
kesho tuimbe wote kwa pamoja!
CCM mbele kwa mbele ni wimbo wetu wa msimu lazima tumalize nao.
ila nyimbo hizi tatu huwaga ni hamasa sana watanzania wakiimba pamoja
1. wimbo wa taifa (Mungu Ibariki Tanzania)
2. Wimbo wa tazama ramani
3. wimbo wa Tanzania nakupenda kwa moyo wote
hawa wasanii vijana waliojitolea kuwa team yetu basi na waongoze kuimba hizi nyimbo tukianza na kufunga mkutano.
Mgombea na mwenyekiti kwa pamoja msitumie zaidi ya dk 50
Kikwete utumie 15 minutes na Magufuli dk 35
Kikwete uage na kuwashuru watanzania lakini rekodi zako ni nzuri sana ktk maeneo mengi ya huduma za jamii. kuna rekodi nyingi zikionesha hilo. kuna changamoto hakuna anayekataa.
mafanikio
1. elimu (enrollment ktk kila level kuanzia kindergarten hadi university iliongezeka sana, wape takwimu watanzania
2. uchumi - reports za UNDP zinaonesha hilo, kwamba awamu ya 4 imeipandisha Tanzania hatua zaidi ya 5 ktk rank ya uchumi duniani
3. Afya - mfano JK heart institute
4. mawasiliano na uchukuzi - tv, radio, simu ikwemo banking systems za simu, etc
5. michezo, sanaa, muziki na utamaduni
6. demokrasia
Changamoto
1. ufisadi na kushindwa kuwajibika kwa baadhi ya watumishi wa umma
2. mfumuko wa bei
Tinga tinga wewe una dk 5 za mwanzo na 5 za mwisho kusema juu ya mipango yetu! hizi dk 15 - 20 tumia unavyotaka, sisi tutakusamehe hata ukicheka tu, ila dk 5 za mwanzo na 5 za mwisho hizi lazima utumie kumtandikia mpinzani wetu.
chondechonde kaka usitukane maana watu wengine pia wanaweza kuja kumpa adui kura za huruma.
Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki J.P. Magufuli