WanaCCM mliokuwa mnaeneza propaganda kuwa Lowassa amekinunua chama cha Chadema sasa mtaziweka wapi sura zenu?

Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
15,484
30,160
Baada ya Mheshimiwa Lowassa kutoka chama cha CCM na kujiunga na chama cha Chadema mwaka 2015, wanaccm walieneza propaganda za hali ya juu sana kuwa Lowassa amekinunua chama cha Chadema kwa shilingi bilioni 10!

Kama ingelikuwa kweli kuwa Lowassa amakinunua chama cha Chadema, iweje Leo atoke kwenye chama chake "anachokimiliki" na aamue kurejea kwenye chama chake cha awali cha CCM??

Hivi mtu unawezaje kuondoka kwenye chama ambacho ni mali yako na unakimiliki??

Je Mheshimiwa Lowassa kesharejeshewa mabilioni yake aliyotumia kukinunua chama cha Chadema??

Nyiye watu wa Lumumba muwe na akiba na maneno mnayoyatoa, kwa kuwa hamjui kesho au keshokutwa kitatokea nini.......

Mliyekuwa mkimuita fisadi na 1 nchini, ndiye huyo huyo siku ya kurejea kwenye chama chenu, amepokelewa kwa heshima zote na Mwenyekiti wenu, Rais John Magufuli na Waziri wake Mkuu, Kassim Majaliwa, pamoja na Katibu wenu mkuu, Bashiru Ally

Nimekuwa nikijiuliza iweje chama kinachodai kinapiga vita ya rushwa na ufisadi kwa nguvu zote, leo hii mtu ambaye wamekuwa wakimtangaza kuwa ni fisadi wa "kutupa" apokelewe kwa nderemo na vifijo vya hali ya juu kiasi kile??

Mungu ibariki Tanzania
 
Baada ya Mheshimiwa Lowassa kutoka chama cha CCM na kujiunga na chama cha Chadema mwaka 2015, wanaccm walieneza propaganda za hali ya juu sana kuwa Lowassa amekinunua chama cha Chadema kwa shilingi bilioni 10.

Kama ingelikuwa kweli kuwa Lowassa amakinunua chama cha Chadema, iweje Leo atoke kwenye chama chake "anachokimiliki" na aamue kirejea kwenye chama chake cha awali cha CCM??

Hivi mtu unawezaje kuondoka kwenye chama ambacho ni mali yako na unakimiliki??

Je Mheshimiwa Lowassa kesharejeshewa mabilioni yake aliyotumia kukinunua chama cha Chadema??

Nyiye watu wa Lumumba muwe na akiba na maneno mnayoyatoa, kwa kuwa hamjui kesho au keshokutwa kitatokea nini.......

Mliyekuwa mkimuita fisadi na 1 nchini, ndiye huyo huyo siku ya kurejea kwenye chama chenu, emepokelewa kwa heshima zote na Mwenyekiti wenu, Rais John Magufuli na Waziri wake Mkuu, Kassim Majaliwa, pamoja na Katibu wenu mkuu, Bashiru Ally

Nimekuwa nikijiuliza iweje chama kinachodai kinapiga vita ya rushwa na ufisadi kwa nguvu zote, leo hii mtu ambaye wamekuwa wakimtangaza kuwa ni fisadi wa "kutupa" apokelewe kwa nderemo ni vifijo vya hali ya juu kiasi kile??

Mungu ibariki Tanzania
Si umeona Mbowe hajamtukana kabisa Mh. Lowasa, kwa sababu anajua muda wowote Ngoyai anaweza kurudi kudai chenji
 
Hata mahakama ya mafisadi mlituaminisha kuwa mmeifungua kwa ajili ya watu wa design ya Lowassa

Lakini cha ajabu hivi sasa ni zaidi ya miaka 2 tokea mahakama hiyo ya mafisadi ifunguliwe haijapata mtuhumiwa hata mmoja!
 
Watanzania wasingekuwa na maamuzi ya mihemko, hii dhambi ya kusafisha mtu huyo ingebaki upande mmoja, Kwa sababu ya mihemko ndo hivyo wengi wakati mwingi wanajikuta njia panda yatokeapo kama haya..

Ila nimeanza kuamini kwamba EL ni Jabari la Siasa za Tz. Wale Walimkataa. nyumbani wakamhifadhi na kumtetea.Nyumbani wakamkataa Akahama na kwenda kwa liomkataa zamani yaani wale, sasa walimkataa yaani nyumbani watamtetea kama mwanzo na waliomkubali na amewakimbia yaani wale, huenda wakaanza tena kumkataa.. Mtu huyo huyo, vyama hivyo hivyo.

Siasa za Bongo bwana..
 
Baada ya Mheshimiwa Lowassa kutoka chama cha CCM na kujiunga na chama cha Chadema mwaka 2015, wanaccm walieneza propaganda za hali ya juu sana kuwa Lowassa amekinunua chama cha Chadema kwa shilingi bilioni 10!

Kama ingelikuwa kweli kuwa Lowassa amakinunua chama cha Chadema, iweje Leo atoke kwenye chama chake "anachokimiliki" na aamue kurejea kwenye chama chake cha awali cha CCM??

Hivi mtu unawezaje kuondoka kwenye chama ambacho ni mali yako na unakimiliki??

Je Mheshimiwa Lowassa kesharejeshewa mabilioni yake aliyotumia kukinunua chama cha Chadema??

Nyiye watu wa Lumumba muwe na akiba na maneno mnayoyatoa, kwa kuwa hamjui kesho au keshokutwa kitatokea nini.......

Mliyekuwa mkimuita fisadi na 1 nchini, ndiye huyo huyo siku ya kurejea kwenye chama chenu, amepokelewa kwa heshima zote na Mwenyekiti wenu, Rais John Magufuli na Waziri wake Mkuu, Kassim Majaliwa, pamoja na Katibu wenu mkuu, Bashiru Ally

Nimekuwa nikijiuliza iweje chama kinachodai kinapiga vita ya rushwa na ufisadi kwa nguvu zote, leo hii mtu ambaye wamekuwa wakimtangaza kuwa ni fisadi wa "kutupa" apokelewe kwa nderemo na vifijo vya hali ya juu kiasi kile??

Mungu ibariki Tanzania

Duh.. sasa unafikiri aliingiaje kule? kwani mtu ukinunua kitu huwezi kukirudisha au kukitupa na ukakubali kula hasara?
 
"Baba Lowassa ulipo nasisi tupo"... Kahamia CCM nasisi tunahamia CCM.... tuko vijana 30 kwa pamoja tunamuunga mkono Lowassa ...... Lets keep our words.... this movement is for real .... Lowassa Raisi wa roho za watanzania..
 
Siyo rahisi mtu kukubali hasara ya mabilioni ya pesa "alizotupa" kununulia chama na kurejea kule alikotoka
 
mkuu mbona unajianika?

1.karudishiwa hela yake
2.kakiuza kwa membe
3.kaona asamehe

CCM will always talk.

una roho ngumu, aibu ya EL kurudi ccm haijakupata?
 
Iweje sasa chakubanga polepole amuite fisadi na malaya?

"Baba Lowassa ulipo nasisi tupo"... Kahamia CCM nasisi tunahamia CCM.... tuko vijana 30 kwa pamoja tunamuunga mkono Lowassa ...... Lets keep our words.... this movement is for real .... Lowassa Raisi wa roho za watanzania..
 
Lowassa hakuinunua cdm bali aliwapa hela viongozi baadhi wa juu ili apewe nafasi ya kugombea urais na hilo liko wazi. Kama amewapa hela viongozi wa juu kuna tofauti gani na kukinunua chama? Ukweli ni kuwa Mbowe na genge lake walifanya kosa kubwa sana na walituvunjaa heshima kwa kumpokea mtu kisa hela zake. Kibaya zaidi huyo mzee hakuwa na uwezo wa kisiasa.

Pia tulipiga kelele kwamba huyo mzee kuendelea kuwa mjumbe wa kamati kuu ilikuwa ni kosa kubwa lakini viongozi waliziba masikio. Kulikuwa na haja gani kumkalisha huyo mzee high table aliyekuwa anaona hata aibu kuvaa uniform za chama? Wanacdm tusijiweke kwenye mazingira ya kutetea kosa la kipuuzi maana hatukisaidii chama. Mbowe apewe ukweli wake kwamba tamaa zake za muda mfupi ndio zimekufubaza chama.
 
Iweje sasa chakubanga polepole amuite fisadi na malaya?

Ni ajabu na kweli na aibu kwenu nyinyi wanaccm, mliyekuwa mkimuita fisadi majuzi tu.......

Leo mumuone ni Lulu na mumsafishe na kumuita ni mtu asiye na doa!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Lowassa hakuinunua cdm bali aliwapa hela viongozi baadhi wa juu ili apewe nafasi ya kugombea urais na hilo liko wazi. Kama amewapa hela viongozi wa juu kuna tofauti gani na kukinunua chama? Ukweli ni kuwa Mbowe na genge lake walifanya kosa kubwa sana na walituvunjaa heshima kwa kumpokea mtu kisa hela zake. Kibaya zaidi huyo mzee hakuwa na uwezo wa kisiasa.

Pia tulipiga kelele kwamba huyo mzee kuendelea kuwa mjumbe wa kamati kuu ilikuwa ni kosa kubwa lakini viongozi waliziba masikio. Kulikuwa na haja gani kumkalisha huyo mzee high table aliyekuwa anaona hata aibu kuvaa uniform za chama? Wanacdm tusijiweke kwenye mazingira ya kutetea kosa la kipuuzi maana hatukisaidii chama. Mbowe apewe ukweli wake kwamba tamaa zake za muda mfupi ndio zimekufubaza chama.
Lakini ni lazima tukubali ukweli kuwa Lowassa amekijengea heshima kubwa Chama cha Chadema........

Hadi sasa kinaitwa chama kikuu cha upinzani nchini na kina wabunge wengi zaidi wa kuchaguliwa, ukilinganisha na uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, kabla Lowassa hajaingia chama hicho
 
Hili swala la akiba ya maneno kwa issue ya EL linacheza pande mbili zote. Ni bora kukaa kimya maana kwa matendo haya Lowasa si fisadi tena. Alipokuwa CCM alisemwa sana kuwa ndiye fisadi number 1. Alipoenda CDM alisafishwa na haohao waliomsema na kuwa mgombea number 1 na CCM wakaendelea kumsema vibaya ingawa kwa tahadhari. Leo karudi CCM akiwa hana tuhuma yoyote yeye. Nani atanyoosha kidole amtuhumu Lowasa kwa ufisadi?

Kibaya ni kikiwa kwa mwenzako kikiwa kwako ni kizuri tu na bora zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom