jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,951
- 29,532
Kwa mujibu wa Taarifa ya habari ITV lowassa alionekana akihutubia wakazi wa Monduli na kutoa kauli ya kwamba Yuko kwenye mkakati wa kukibadilisha Chama kutoka kuwa chama cha uanaharakati na kukifanya kuwa chama cha siasa. Kauli hii imenishangaza kidogo kwani ni kama vile Lowassa haamini kama CHADEMA ni chama cha siasa au anakiona kama ni genge la wanaharakati tu.
Sina shida na matamanio ya EL kukibadilisha CHADEMA kutoka chama cha uwanaharakati hadi kuwa chama cha siasa .....
Ni vyema katibu wa CHADEMA au hata msemaji wa CHADEMA Tumain Makene akaingia kwenye media ili kutoa ufafanuzi kama katiba ya CHADEMA haijavunjwa.
Ni hayo tu...
Matusi pembeni hoja mbele