Wana Yanga tukaishangilie Al Masry

Wana Yanga tukaishangilie Al Masry

Hata waarabu walipokuja kuchukua babu zetu utumwani.

Walipata wenyeji wa kuwasaidia kuwatumikisha wenzao.

Hivyo uwepo wa aina ya watu wa mleta mada ni kawaida sana.
 
Kauli mbiu ya Simba ni ubaya ubwela, sasa kwa kuwa wamewaalika watu walioitendea Yanga ubaya, kwenye hiyo mechi,basi wajibu wetu ni kuwajibu ubaya kwa ubaya.

Tukaishangilie Al Masry kesho
tayari nina ticket mbili hapa, moja yangu nyingine ya shemeji yenu...Al-Masry daima mbele nyuma mwiko 😀 😀 😀
 
Kauli mbiu ya Simba ni ubaya ubwela, sasa kwa kuwa wamewaalika watu walioitendea Yanga ubaya, kwenye hiyo mechi,basi wajibu wetu ni kuwajibu ubaya kwa ubaya.

Tukaishangilie Al Masry kesho
Kipindi cha Ubuntu Botho watu walivaa mpaka jezi za njano na uwanjani wakaingia, mechi ya Mazembe wakavaa jezi na uwanjani wakaingia free.Leo wao wameingia uoga wanaomba hasiye husika hasiingie.
 
Back
Top Bottom