Wana Yanga njooni tujadili

Mzururaji

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,559
1,272
Dirisha dogo la usajili linafungwa leo saa 5: 59 mpaka sasa yanga ina wachezaji sita wa kigen ambao ni jaja,continho, niyonzima, kihiza,okwi, na mbuyu twite na sheria inataka wachezaji watano wa kigeni sasa maxmo atamkata nani? Kumbuka akimkata okwi ndo simba washa mchukua na hela imeenda wakati huo huo hawez kuwakata wale wazungu wake je unashaur nin kifanyike
 
dirisha dogo la usajili linafungwa leo saa 5: 59 mpaka sasa yanga ina wachezaji sita wa kigen ambao ni jaja,continho, niyonzima, kihiza,okwi, na mbuyu twite na sheria inataka wachezaji watano wa kigeni sasa maxmo atamkata nani? Kumbuka akimkata okwi ndo simba washa mchukua na hela imeenda wakati huo huo hawez kuwakata wale wazungu wake je unashaur nin kifanyike

usome magazeti na weee acha ubaili


okwi kashtakiwa tff

kabaki kiiza
 
Dirisha dogo la usajili linafungwa leo saa 5: 59 mpaka sasa yanga ina wachezaji sita wa kigen ambao ni jaja,continho, niyonzima, kihiza,okwi, na mbuyu twite na sheria inataka wachezaji watano wa kigeni sasa maxmo atamkata nani?

Usijali mchezaji mmoja tutambadilisha uraia atakuwa mbongo...


Kumbuka akimkata okwi ndo simba washa mchukua na hela imeenda wakati huo huo hawez kuwakata wale wazungu wake je unashaur nin kifanyike

Simba washamaliza usajili wa wachezaji wao watano wa kigeni...
 
Wafukuze scraper zote walizosajili mwaka huu na wakamchukue kwa garama yoyote yule kijana wa mali aliyewika kwenye mashindano ya kagame TRAORE atabadilisha soka la bongo
 
Wafukuze scraper zote walizosajili mwaka huu na wakamchukue kwa garama yoyote yule kijana wa mali aliyewika kwenye mashindano ya kagame TRAORE atabadilisha soka la bongo[
sasa si itakua muda umeenda au niaje?
 
Mimi sina imani kabisa na yule striker wa kibrazil anaitwa JAJA nasikia ana kiwango hafifu hamfikii KIIZA wala OKWI achilia mbali TEGETE, JAVU na BAHANUZI sasa nadhani ni bora tuachana na huyo mbrazil uchwara kuliko kumuacha OKWI.
 
OKWI alikuwa na nafasi kubwa ya kubaki yanga lakini kajiondoa mwenyewe kwa utovu wa nidhamu, msimu uliopita hakucheza kwa kiwango chake na mechi zingine alikataa kabisa,sasa mchezaji kama huyu ana faida gani katika timu? ndo maana kampa nafasi kiiza
 
OKWI alikuwa na nafasi kubwa ya kubaki yanga lakini kajiondoa mwenyewe kwa utovu wa nidhamu, msimu uliopita hakucheza kwa kiwango chake na mechi zingine alikataa kabisa,sasa mchezaji kama huyu ana faida gani katika timu? ndo maana kampa nafasi kiiza
mbwa koko mkali kwao bhana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom