Wana udom mnaosoma/fundisha intermediate micro economics

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,670
2,118
Msaada wenu jamani! Naombeni mnisaidie COURSE OUTLINE YA EN 200. Nipo kwenye hali ngumu sijui A wala Ba jinsi gani nita-clear hiki kimeo pia naombeni mnisaidie jinsi ya kupata material ya hii course! Natumai mtanisaidia,mnaoingia third year mnajua tulivyo isoma kimagumashi! MSAADA PLZ!
 

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,022
1,766
Dah!!wa2 wachache ka nyie ndo mnaofanya udom kudharauliwa..
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
Hata hiyo sup wamekupendelea. Kama umesoma kozi semister nzima hauna course outline na material unastahili kudisco!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom