Cute π
Nilipokuwa mdogo ile "fumbua macho" tu nililetewa mwanasesere aliyekuwa rangi ya kahawia ilokoza, kibotwa botwa, macho ya hudhurungi na nywele fupi.
Hiyo ndio picha ya mwanasesere kichwani mwangu.
Hii ya mfano wa Barbie, mweupe, macho ya samawati, nywele hadi mgongoni na mwembamba kaa njukuti naona mwanasesere feki, wa dunia ya Wazungu sio yangu π