Wana NJENJE the Kilimanjaro band wapi?

Wana NJENJE the Kilimanjaro band wapi?

Wameishia Salendar Bridge, Jumamosi hii na kila Jumamosi...
Ye be warned!
 
Aaah na mimi umenikumbusha mbali...

Mama kaniambia atanipa mwali akinipa mwali nitampeleka kwa makandawira...

Kachiriii kachiri..saga

Tulizana mpenzi tupendaneee

Daaah longtime
 
Aaah na mimi umenikumbusha mbali...

Mama kaniambia atanipa mwali akinipa mwali nitampeleka kwa makandawira...

Kachiriii kachiri..saga

Tulizana mpenzi tupendaneee

Daaah longtime
Leo nimewahi nafasi yako mkuu. Makandawira ina wene...
 
Back
Top Bottom