Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,808
Joint yako wewe na wazazi lengo ni nini??Kwa sasa iko joint ya kwangu na wazazi....
Baba Klaree bado hajaona umuhimu....
Joint yako wewe na wazazi lengo ni nini??
Okay nimekupataSwali zuri....
Malengo ni mengi nitasema mojawapo mengine yako too personal...
Urahisi wa mimi kusimamia/kuendesha biashara za familia.
Tufungue yetu tu usihofuKutokana na joto joto la mahaba kuwa juu, wana ndoa wengi walikwenda mbali hadi kufungua akaunt za pamoja katika benkj mbali mbali.
Kwa tathmini yangu akaunt za aina hii nyingi kwa sasa ziko chali.
Wale ambao akaunti zenu bado zinapumua, kujeni hapa mtupe ushuhuda.
Sawa bby. This January. Tuitunishe ikijaa nikununulie Vitz!Tufungue yetu tu usihofu