wana ndoa au wenye uzoefu

Nilikuwa nina mpango wa kuleta (posa) lakini naona umeishaanza kuzungumzia mambo ya ratiba hata hatujafika mbali sasa naanza kufikiria mara mbili kuhusu uamuzi wangu juu yako
 
hapana huu uongo kabisa tena ulio naked, duh! kila siku si itakuwa balaa, tendo la ndoa ni tendo kama tendo jingine, linalohitaji muda na space, huwezi kufanya kila siku, utachoka, hata wanyama wenyewe hawafanyi kila siku.

thanks beauty,now narejea kundini
 
wewe ndo umekua?km ukuaji wenyewe ni uu bora nibakie mtoto.
try to undstnd theme b4 anythng
hasira ya nin baba?
chai supu?gud morning?
 
Beauty tufanye majaribio tuone kama kila siku tutaweza kucheza aladji, aladji, aladji, aladji nitakusubiri ukitoka kazini leo
Taratibu bana..kwanza tuombe likizo ya miezi mitatu halafu hiyo mipango ifanyike, siyo leo tafadhali, cos jaribio halitakuwa jaribio wala quiz, lakini naogopa kushitakiwa na ukoo & friends zako, kwakuwa najua utakataa kurudi kwenu kwa matukio nitakayokupiga, oooopss sasa sijui nifanyaje!! au nkutafutie mtu mwingne ambaye ni mwanafunzi kwa ajili ya majaribio? Da Sophy si mchoyo hope atakubali.
 
Na ukicheleweshewa kidogo domo linavyovutwa kama mpira wa manati!
 
hamu huwa aisubiri
 
sasa golder unataka nini, si umesema unahitaji uzoefu na ushauri kwa wenye ndoa??

bacha mi nimeuliza kama ukishaingia ndoani ndo mtwango daily sas nakushangaa wewe unataka kunifundisha aaah mi sidanganyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiki.
 
Eeeeh kwani ushapata hamu? hapo hatujaingia hata ndani, kazi ipo, itabidi uage vizuri wasije bandugu wakakusaka mpaka kwenye vituo vya police bure!

Unajua kuna wengine haupati shida kwenye kutafuta channel sijui hadi utoke nje uanze kuzungusha antenna wala wewe unafanya digital tu, ila nakukumbusha sheria yetu namba 3 nafikiri unaitambua vizuri
 
bacha mi nimeuliza kama ukishaingia ndoani ndo mtwango daily sas nakushangaa wewe unataka kunifundisha aaah mi sidanganyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiki.

Hivi hata mechi za mchangani haujawahi kucheza kuna uwanja mpya unafunguliwa leo jioni tukicheza wote kwenye huo uwanja mpya itakuwa vizuri
 
Unajua kuna wengine haupati shida kwenye kutafuta channel sijui hadi utoke nje uanze kuzungusha antenna wala wewe unafanya digital tu, ila nakukumbusha sheria yetu namba 3 nafikiri unaitambua vizuri
naikumbuka vizuri sana sana, sheria no 3 yaetu inasema Mpende mkeo/mumeo kwa moyo wako wote na usitoke nje ya ndoa..naona unaanza kuvutiawa na upinzani, mpaka sheria umeziclaim, safi sana.
 
Eeeeh kwani ushapata hamu? hapo hatujaingia hata ndani, kazi ipo, itabidi uage vizuri wasije bandugu wakakusaka mpaka kwenye vituo vya police bure!

kwani hujui tayari Finest kashabwia valuu na kiroba ready kwa pambano?
 
naikumbuka vizuri sana sana, sheria no 3 yaetu inasema Mpende mkeo/mumeo kwa moyo wako wote na usitoke nje ya ndoa..naona unaanza kuvutiawa na upinzani, mpaka sheria umeziclaim, safi sana.

Sheria hiyo inaendana na hii hapa sheria namba mbili chini

2-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanatakiwa kufanya wanaloliweza kuhakikisha hakuna leakage ya taarifa yoyote ya INFIDELITY juu yako kwenye familia zao(hasa hasa wake/waume zao waliowaacha nyumbani)

Bila kusahau sheria namba tatu kwa ajili ya kukukumbusha usisahau

3-INFIDELATORS/INFIDELEETES wanatakiwa kushea-KIZURI KULA NA NDUGUYO!(hii sheria ni muhimu sana).ukimpata infideletee anaejituma sana gesti muhabarishe na mwenzio akamfaidi.SHARING IS CARING-KUGAWANA NI KUJALI
 
Hivi hata mechi za mchangani haujawahi kucheza kuna uwanja mpya unafunguliwa leo jioni tukicheza wote kwenye huo uwanja mpya itakuwa vizuri

the finest huo uwanja unafunguliwa wapi?duuuh mbona umekomalia sana we hatari kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…