Examination and criteria by law iko wazi kabisa mwambie aende kwa Dean of faculty yake angalau siku moja kabla ya examination aandike barua ya kuahirisha mitihani ataruhusiwa kisha ajipange upya hata kwa mwakani
Pia kwa sasa sheria zimrbadilika endapo mwanachuo akawa na supp na special kwa mwaka mmoja atalazimika kufanya kwanza special ktk mwaka husika na baadae kufahamu idadi ya supp zake ili afanye next year
Kwa ujumla ni kwamba huwezi kufanya supp na special ndani ya mwaka mmoja
NB: TELL HIM/HER TO RRPORT TO THE DEAN OF FACULTY IMMEDIATELY.