Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,886
- 172,640
Naombeni maombi yenu. Dalili nilizo zisikia kuumwa na kichwa, macho, viungo vya mwili, kichefu chefu, joto la mwili kupanda. Kwa sasa nipo hapa hospital. Majibu yametoka, nasubiri kuchoma sindano ya plazadol kisha kesho niendelee na vidonge vya tramadol. Chakushangaza nipo zahanati ya serikali, lakini inachaji elfu kumi ya kupima dangue, kweli hii ni haki?
Teh heee umekuwa kama mzee nanii alikataa kuokolewa kisa waokoaji wanataka buku
mzee anashaut " mwanangu usiwape buku, jero mwanangu wape jero kama buku acha tu"
afya yako buku ten unaona ishu
pole kwa kuumwa get well soon...
Sipati picha kama pengine mko 10 kwenye familia sijui kama tutaweza wengine ni heri wangefanya bure hiki kipimo jamani. Haya mgonjwa ugua pole usisahau kusali lkn.Elfu 10 na wasio na vipato si watajifia tu...so sad
Mzee mmoja hivi anaishi moshi..Mzee yupi huyo?
Mzee mmoja hivi anaishi moshi..
pole sana mkuu ndo tz bongo hiyo bora kupoma men chezea denge..Naombeni maombi yenu. Dalili nilizo zisikia kuumwa na kichwa, macho, viungo vya mwili, kichefu chefu, joto la mwili kupanda. Kwa sasa nipo hapa hospital. Majibu yametoka, nasubiri kuchoma sindano ya plazadol kisha kesho niendelee na vidonge vya tramadol. Chakushangaza nipo zahanati ya serikali, lakini inachaji elfu kumi ya kupima dangue, kweli hii ni haki?