Katika kuimarisha mashina ya team bazazi,leo natua Morogoro(siyo kwa chopa).Kazi yangu itakuwa ni uenezi na kuwajulisha wanachama wa hapa umuhimu wa uchaguzi ujao.
Ili kuhakikisha uchaguzi ujao unafanikiwa na team---- inapata ushindii,ahadi yangu ni kuwatafutia malazi wana MMu siku ya JF party hapo June pale Serena au Kempsiky.Wana morogoro nipokeeni tafadhali