mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 19,039
- 37,225
HahahaaaHa haaaa ulitakiwa uanze na maneno matamu kwanza
Nilikuwa ndio kwaanza bado kijana mbichi hata sijui kutongoza naongozwa na hisia za kidudu tu
HahahaaaHa haaaa ulitakiwa uanze na maneno matamu kwanza
Habari zenu wana-MMU.
Nataka maoni yenu katika hili swala.
Swala hili linaonekana la ajabu kutokana na mila na tamaduni zetu za ki-Afrika ila SIO DHAMBI kabisa.
Mimi siitaji kuja kuwa na mtoto katika maisha yangu yote ila nataka kuoa niwe na mke TU. Hii ni kawaida sana kwa nchi za ulaya na marekani unakuta kuna familia/ndoa za namna hii nyingi sana lakini sio hapa Afrika.
Hapa nyumbani(Tanzania) formula ni Ndoa = Watoto.
Ili ndoa ionekane imefanikiwa basi iwe na watoto japo mimi binafsi siamini hivyo.
Katika maamuzi hayo yawezekana ntakumbana na changamoto nyingi, lakini Kubwa ni Kupata mwanamke ambae atakubali kuwa ndani ya ndoa bila mtoto.
Wana MMU nipeni maoni yenu kuhusu hili swala kwa sababu sijiskii KABISA kuwa nina deni la kuwa na mtoto, sina tatizo lolote kiafya la kunizuia kuwa na mtoto ila SITAKI TU.
1. Mna maoni gani ?
2. Je kuna msichana ambae anataka kuolewa lakini hana mpango wa kuzaa ?(kama baadhi ya wanawake wa ulaya/marekani)
Asanteni, mchana mwema.
Mkubwa mashuti yako unayowapiga hayana tija ndio maana hutaki mtoto. Tumekuelewa. Wanaita shooting blank.Habari zenu wana-MMU.

Mkuu hivi umeshawahi kuwa mpweke, watoto ni hazina ya baadae kama hujui. One day at an old age utatamani kuiona damu yako, utatamani kuwaona wajukuu zako wakiruka ruka around, hata kama unaona at 29 hutamani then at 60 utajuta kwa upweke utakao kuwa nao tena usiombe mkeo afe mapema kbl yako unajikuta uko peke yako mzeebaba. Sina hakika kama unanielewa mkuuKwani hata mwanamke ntakaemuoa si ntawajibika kumtunza pia ? Chakula, mavazi, gharama za urembo.
Kwanza watoto sio gharama kama watu wanavyosema hasa kwa mtu ninaefanya kazi. Hawali saaana na nguo huwanunulii kila na ada ya masomo inalipwa mara moja tu kwa mwaka. Kwahiyo huo wajibu wa kuwatunza wala sio hoja kwa kweli.
Ukweli ni kwamba mimi SIONI haja/umuhimu wa kuwa na watoto. Sijawahi kuhisi nahitaji mtoto, labda hilo ndo swala la kunishutumu kama unataka kunishitumu.
Tatizo ni kuiga au kuiga huko Marekani na Ulaya?Mkuu acha kuiga kila kitu kutoka huko marekani na ulaya. Vingine vinaendana na DNA yao na si yetu!
Wewe unamjua huyu mtu kuliko anavyojijua yeye mwenyewe?Mkuu hivi umeshawahi kuwa mpweke, watoto ni hazina ya baadae kama hujui. One day at an old age utatamani kuiona damu yako, utatamani kuwaona wajukuu zako wakiruka ruka around, hata kama unaona at 29 hutamani then at 60 utajuta kwa upweke utakao kuwa nao tena usiombe mkeo afe mapema kbl yako unajikuta uko peke yako mzeebaba. Sina hakika kama unanielewa mkuu
Simjui ila kwakuwa kataka maoni yetu then najaribu kutengeneza picha fln kichwani mwake, kama anadhan mwanamke ni kwaajili ya ngono tu then sikumoja ngono haitakuwa ya muhimu akigundua kuna vitu vimemiss kwenye maisha yake, otherwise awe abnormalWewe unamjua huyu mtu kuliko anavyojijua yeye mwenyewe?
Kwani wapi kasema mwanamke ni kwa ajili ya ngono tu?Simjui ila kwakuwa kataka maoni yetu then najaribu kutengeneza picha fln kichwani mwake, kama anadhan mwanamke ni kwaajili ya ngono tu then sikumoja ngono haitakuwa ya muhimu akigundua kuna vitu vimemiss kwenye maisha yake, otherwise awe abnormal
Uzinzi na kuua ipi dhambi kubwa kwako?Itakuwa kujiepusha na uzinzi tu.
Come back when you are 33I am 29 years old
If you can impregnate a woman yes, if you can't it's another caseNtaanza kutamani mtoto au sio ?
Mbona umechelewa kusema? Hakika ungenifaa sana mie!
Umefikiria jinsi ambavyo watoto wanaweza kuwa chanzo cha wewe kukosa amani. Hasa ambapo hawakusikilizi, wamejifunza tabia mbaya, wanaishi maisha ya kukutia aibu ukubwani.Mkuu hivi umeshawahi kuwa mpweke, watoto ni hazina ya baadae kama hujui. One day at an old age utatamani kuiona damu yako, utatamani kuwaona wajukuu zako wakiruka ruka around, hata kama unaona at 29 hutamani then at 60 utajuta kwa upweke utakao kuwa nao tena usiombe mkeo afe mapema kbl yako unajikuta uko peke yako mzeebaba. Sina hakika kama unanielewa mkuu
Umemjibu vizuri sanaTatizo ni kuiga au kuiga huko Marekani na Ulaya?
Wewe mwenyewe unavyotumia mtandao ulioanzishwa Marekani hujui na wewe umeiga kutoka Marekani hapo?