Wana MMU (Baadhi yetu) mara moja moja acheni utoto!

Wana MMU (Baadhi yetu) mara moja moja acheni utoto!

Hiki ni kijiwe kama vijiwe vingine aisee ya heri unachukua mengine unayaacha humu ! Wacha tufuruhi banaa sasa tusiposikia hayo ya vijambo na migegedo itakuwaje? Burudaaani kabisa !!! Wapi Gogle ulipona kiuno chako? Haha! Tunatofautiana mkuu!! Btw-noted!!

Nipo dada munkari
 
Last edited by a moderator:
tuvumiliane, kwenye msafara wa mamba kenge wamo. Wengi walikuwa makenge back years now wapo vizuri. Ukweli huu uzi mleta mada umeuleta kikomedy, nilibaki nacheka tuu

Hata wale wa kucopy na kupaste stori kutoka forums nyingine haya kwapamoja tusemeee.........TUVUMILIANE.
 
Ila waifu kama anajamba sana hilo ni tatizo kubwa labda angepost jf doctor
 
ukweli utabaki palepale kubikiri ni kukitumia kitu kwa mara ya kwanza kabla ya mwingine yeyote hajakitumia kwa maneno mengine ni kukizindua usiunyime ufahamu wako maarifa si kila kitu katika maisha kitakufurahisha na si kila kitu katika maisha kitakuchukiza
chukua unachoona kinakufaa acha unachoona hakikufai JF ni jukwaa huru hivyo lina mengi unaweza kufikiri wengine ni tatizo au wanakosea kumbe wewe mwenyewe ndio tatizo, huwezi kumfanya kila mtu afikiri kama wewe lakini zaidi ya yote ni lazima maisha yasonge na JF nayo istawi
 
ukweli utabaki palepale kubikiri ni kukitumia kitu kwa mara ya kwanza kabla ya mwingine yeyote hajakitumia kwa maneno mengine ni kukizindua
Hahahahahahahahaha mkuu kwa mfano umeenda kununua subwoofer(Radio) mwenye duka akakutestia kama ina lia, basi we ukaichukua ukaenda nayo home pale nani atakuwa ameibikri radio????
 
Hahahahahahahahaha mkuu kwa mfano umeenda kununua subwoofer(Radio) mwenye duka akakutestia kama ina lia, basi we ukaichukua ukaenda nayo home pale nani atakuwa ameibikri radio????

ametest hajatumia,hata magari ambayo ni zero km nayo yanakuwa yashatestiwa lakini hayajatumika
 
ametest hajatumia,hata magari ambayo ni zero km nayo yanakuwa yashatestiwa lakini hayajatumika

mshana banah...leo nimehakikisha naibikiri chai na nimefanikiwa..Nimeongeza idadi ya bikra nilizotoa....hureeeeeeeee
 
Ila waifu kama anajamba sana hilo ni tatizo kubwa labda angepost jf doctor

Si ndo hapo mkuu??...mimi nilimwambia hiyo gesi inaweza kutoa megawatt 2 za umeme hivyo akamuunganishe kwenye gridi ya taifa tupate kuunguza mgao! maana naye ni maliasili ya taifa
 
Hiki ni kijiwe kama vijiwe vingine aisee ya heri unachukua mengine unayaacha humu ! Wacha tufuruhi banaa sasa tusiposikia hayo ya vijambo na migegedo itakuwaje? Burudaaani kabisa !!! Wapi Gogle ulipona kiuno chako? Haha! Tunatofautiana mkuu!! Btw-noted!!

Shosti mambo!!za siku hivi uko wap siku hizi kama ipo Tabora uniletee Asali mbichi usisahau na michembee
 
Last edited by a moderator:
Wana mmu,
Hili jukwaa kwa siku za karibuni kuna threads zime-emerge mpaka mtu unashindwa kuelewa tunataka tushauriane nini?

Unakuta mtu anaanzisha uzi eti "Kutoa bikra sio lazima mwanamke, ukiwa wakwanza kula chakula kilichotoka jikoni basi na wewe utakuwa miongoni mwa waliobikiri" hivi kweli mtu unaamka na kupost kitu kama hiki? kwa malengo yapi?

Mwingine unakuta anapost kitu ambacho katika hali ya kawaida hakiwezekani mfano "nikiwa napiga bao huwa natoa mingurumo kama simba au ng'ombe" hivi kweli kwa binadamu wa kawaida inawezekana ungurume kama simba wakati wa kufika kileleni? mtu wa aina hiyo sijui tuanze vipi kumshauri! au mwingine mfano "mke wangu anajamba sana" katika maisha ya kawaida neno sana ni kitu kilichopitiliza mno hivi kweli umewahi kukutana na mtu anaejamba mfululizo? kwa kawaida ni abdnomality ya hali ya juu mno,tujiweke kwenye maisha ya kawaida ya binadamu kama haya mambo yanawezekana!

Mwingine utakuta anasema mfano "kati ya kicheche/malaya sana au mtu aliyezaa sana ungependa kuwa na yupi?" hivi kuna mtu miongoni mwetu anayewaza kuwa na mtu wa aina hiyo? sasa tushauri vipi kama siyo jokes zisizo na maana ambapo humu siyo mahala pake?

Mwingine atakwambia mfano "Nikilala usiku natokwa na nyege" huyu anasema yeye ni kijana wa miaka 20 na yupo form six! hajawahi kupata elimu ya uzazi kweli?

Pia kuna wale watu wa matusi..atajifanya kutukana kingereza..ukitukana kingereza basi ujue unajionea aibu wewe mwenyewe vipi sisi tunaopokea? mwingine hata soni haoni yeye katikati ya threads za watu nikuporomosha matusi tu tena ya nguoni!

Kuna wale wengine uzi unaanzishwa yeye bila hata kutoa ushauri anaanza kuanzisha majibizano na mtu fulani! hii nayo inakera na kumvunja moyo mtoa uzi!

Tubadilike jaman siyo lazima mpaka tuwe watu wazima sana tujifunze!

Haya nimeyatoa kwa nia njema yakuweka mambo sawa! :angry:

Hivi wote tungekuwa na akili zinazofanana na mitazamo inayofanana kungekuwa na haja ya kuwepo kwa hili jukwaa?
 
Nimeenda mbali zaid kuangali "Profile yako"....kweli wewe huna post za aina hiyo ila una mind sana siasa
 
Back
Top Bottom