Wana Mbeya-Kyela tukutane hapa

popo1986

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
1,120
372
Wanabodi nimekuja hapa jioni hii kwa maana ya kutaka kujuzana hali ilivyo hivi sasa baada ya mvua kunyesha na vipi kuhusu mjini wa pembeni wa Matema Beach? Vp kwa sasa kuna fikika kwenda huko kutokea hapo kyela?naomba updates zaidi wanabodi...
 
Back
Top Bottom