Wana Kigoma Mjini picha ya kwanza ni Zitto Kabwe

Carlos Valderrama

JF-Expert Member
Dec 27, 2014
664
240
Wana JF Kigoma.

Angalia mfano huu hii karatasi ya kupigia kura jina la kwanza weka vema ni Zitto Kabwe.
 

Attachments

  • IMG_20151010_214500.jpg
    IMG_20151010_214500.jpg
    44.3 KB · Views: 944
Wewe umevurugwa yaani kwa mawazo yako kila mwana Kigoma hata kama hampendi Zitto basi aweke alama ya vema kwa huyo Zitto wako umekwama ndugu.
 
teh teh bila shaka mleta mada wewe ndio zitto mwenyewe, duh mwaka huu mgumu eeh?
VIVA UKAWA!!
 
Back
Top Bottom