Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,422
- 1,254
Tatizo ni ubishi na kuendekeza upinzani karne na karne watajibeba. Naona CCM hawaijui vizuriUkifika Kigoma ni mji uliokauka sana kimaendeleo japo imepakana na nchi zaidi ya mbili. Mbaya zaidi harufu ya kule ni harufu ya kichawichawi. Wenyeji wa huko wamelogezewa ubishi wa kijingajinga tu.
Jamani wanakigoma jengini kwenu, embu igeni mfano wa watu wa Kaskazini kama wa Kilimanjaro, Arusha na atlist Tanga.
Yani hadi wapemba na waunguja wamewazidi kimaendeleo na huku wako visiwani. Acheni hizo bana jengeni kwenu.
Futeni hiyo sifa ya kijinga mnayojisifia ya uchawi. Mkiendekeza mtaendelea kuwa masikini hadi sana.
Watu mara nyingi huwa wanaangalia mijini tu ndiyo wanapima maendeleo ya mkoa naanza na mwanza ukiwa katikati ya mji ni kweli pameendelea ila jumlisha na wilaya zake ni shida arusha na kwenyewe ni yaleyale longido monduli huko manyara na kwenyewe ni shida mtwara ambaye ndiyo ni kinara wa taifa kwa kipato cha kila mtu wako vizuri ila maisha wanayoishi ni shida wana pesa ila hawajui wafanye nini nahitimisha kwa kusema kama nchi bado hatujatatua kero za mikoa yote kila mkoa una changamoto zake kama kuna mkoa ambao umejitosheleza kwa kila kitu kuanzia shule barabara hospitali maji na kadhalika haupo huduma nyingi zinapatikana mijini tu ukiingia huko wilayani wananchi wana hali ngumu sana ya huduma za kijamiiBado najaribu kutafakari uhusiano wa chama cha kijani na umaskini uliokithiri kwa mikoa tajwa hapo juu...
newala kwa mzee mkuchika ambaye amekaa Bingen kwa miaka karibu 35?mtwara haina tofauti na hii mikoa miwili,mtwara kuna wilaya inaitwa newala
ni mwisho hapo...maendeleo is equal to zero
Muulize ni mkoa gani ambao watu wake wanaongoza kwa kuukimbia na kwenda kuangalia fursa kwenye mikoa mingine mikoa yote tanzania haina wa kucheka mkoa mwingine changamoto zinafananaUkilinganisha na mkoa gani wewe mkuu unatoka
kuna mikoa n ya kipekeeWatu mara nyingi huwa wanaangalia mijini tu ndiyo wanapima maendeleo ya mkoa naanza na mwanza ukiwa katikati ya mji ni kweli pameendelea ila jumlisha na wilaya zake ni shida arusha na kwenyewe ni yaleyale longido monduli huko manyara na kwenyewe ni shida mtwara ambaye ndiyo ni kinara wa taifa kwa kipato cha kila mtu wako vizuri ila maisha wanayoishi ni shida wana pesa ila hawajui wafanye nini nahitimisha kwa kusema kama nchi bado hatujatatua kero za mikoa yote kila mkoa una changamoto zake kama kuna mkoa ambao umejitosheleza kwa kila kitu kuanzia shule barabara hospitali maji na kadhalika haupo huduma nyingi zinapatikana mijini tu ukiingia huko wilayani wananchi wana hali ngumu sana ya huduma za kijamii
ulilogwa marangapi mkuu ulipofanya hayo maendeleo na ulifanyajefanyaje kujikomboa kutoka huo ulozisio kila kitu n kuilaumu serikali
asili ya mkoa huo n uchawi wa kijinga
kule ukifanya maendeleo unalogwa je serikali inahusikaje?acheni uzwazwa
kumbe ndio maana mtabaki maskiniMuulize ni mkoa gani ambao watu wake wanaongoza kwa kuukimbia na kwenda kuangalia fursa kwenye mikoa mingine mikoa yote tanzania haina wa kucheka mkoa mwingine changamoto zinafanana
nilikuwa kwenye project kule kakonko na kibondo sasa nikatafuta vijana kadhaa nikawafanyia utafiti ndipo wakanambia hivyo n wenyejiulilogwa marangapi mkuu ulipofanya hayo maendeleo na ulifanyajefanyaje kujikomboa kutoka huo ulozi
asante
kumbe uliambiwa? nilijua ulirogwanilikuwa kwenye project kule kakonko na kibondo sasa nikatafuta vijana kadhaa nikawafanyia utafiti ndipo wakanambia hivyo n wenyeji
hiyo n takwimu ya wizara acha povuHivi tunapopita Dodoma na singida mbona tunaona Nyumba za udongo juu na chini, hayo yote hamyaoni mmeona kagera na kigoma tu? Au Mna lingine labda
kuna tofauti kubwa kat ya mikoa inayochangia pato (GDP) na mikoa maskiniKama inefikia hatua hata Mwanza ninayojua ndoo jiji la pili bongo lakini inazidiwa na Katavi,Morohoro,Tabora,Songwe,Pwani,Ruvuma ,Lindi ,Mtwara n.k basi hizo takwimu ziko vzr sana ,acha mm npite tu
kuna maendeleo ya kuletwa na serikali lakin kuna mengine n ya watu wenyewe mfanoKama ni hivyo hakuna haki ya kuwaponda wana Kigoma eti hawaleti maendeleo kwao na wengine kuwalaumu eti Kigoma hakuna lami. Ni kuwaonea tu.
Vv
acha povu n kipi cha uongo ktk post?Mkuu kuwa na heshima na mipaka co kila unacho fikiria no sahihi kuandika
n kweliKigoma ushirikina mwingi
wewe kweli n kilazakumbe uliambiwa? nilijua ulirogwa
ili ututhibitishie unayosema maana unayakazia kama umewahi kurogwa vile
tafiti ujinga? eti simple survey!!! sample ya wanywa gongo itakuambia kitu gani we mtafiti uchwarawewe kweli n kilaza
kwan ili ujue kitu lazma kikutokee?
hujui tafiti ndio msingi wa kila kitu?
mm nilifanya simple survey kwa wenyeji
sasa kama wenyeji walikiri wazi sembuse we chakubanga?
acha ujinga we muha wote walioko huko waliojenga wamerogwa mara ngapi?lkn kigoma ni janga..m mwenyewe nimepata vijisenti vyangu natamani nirudi home nikanunue kiwanja lkn naogopa maana nahis ntakuwa nimejikatia tiketi ya kifo...japo mamb hayo yamepungua lkn kigoma kuna ushirikina sana