Wana Kagera tunajivunia Saida Karoli

Sisi wana KAGERA tunajivunia mafanikio makubwa ya mwenzetu SAIDA KAROLI. Kwa umoja wetu tutajitokeza kumuunga mkono pale ESCAPE ONE tarehe 7.7.2017. Umoja ni Nguvu
Ni tarehe 6/07/2017
 
hamjivunii ka ka ka ka katererooooooooooooooooooo?
 
Sisi wana KAGERA tunajivunia mafanikio makubwa ya mwenzetu SAIDA KAROLI. Kwa umoja wetu tutajitokeza kumuunga mkono pale ESCAPE ONE tarehe 6.7.2017. Umoja ni Nguvu
Angalau apewe basi kidogo pesa itakayopatikana, TAFADHALI CLOUDS mwoneeni HURUMA japo kidogo mama, maana JUA LA UTOSI KIMUZIKI, Anajaribu kwa mara nyingine
 
Angalau apewe basi kidogo pesa itakayopatikana, TAFADHALI CLOUDS mwoneeni HURUMA japo kidogo mama, maana JUA LA UTOSI KIMUZIKI, Anajaribu kwa mara nyingine
KWANI CLAUZ wanakulaga hela za wasanii?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…