Wana Kagera Njooni Hapa Tutete, Tujadili, Tuzungumze, Tufanye Maamuzi, na Tuchuke Hatua!

Bagambila balinsi baliiguru kuhulila, kyoma wagambage kyonka ekindikwenda kukubaza iwe nogamba kwema kitama ki? Abandi mbaba bali ahelu ya BKB mbekola kugila embabazi. Ninkutagiliza muno oije tukole emilimo. Muleba tulimu nitutwankana. Nishasibwa Bukoba vijijini na Missenye taliyo bapambanaji kityo nitubasa tukagwa 2015 katuraba tutalebile.
 
Watu wenyewe hao' nshomil'e ndo utakuta mahakinu , majaji, makamishna wa polisi mikoani n.k. serikalini wao wanatumiwa tu lakini ukifika pale mji wao mkuu Bukoba' pako hoi taabani huwezi amini,ujanja wa bure !

watusi wamewazidi kete, waungane na serikali kuwarudisha watusi kwani wanapora ajira na mali asili yao na kuipeleka kwao. wakiendelea kuwakumbatia na kuwaita wahaya itakula kwao.
 
Splendid indeed Kajansi, na mimi nilikuwa nafikilia hivyo - wenzetu wa Thailand na Latin America wanafanya hivyo lakini wenyewe ni upande wa prawns zaidi, projects hizi ziko karibu na pwani ya bahari au mito inayoingia baharini/ziwani - sisi tujikite kwenye trapia/bonyfish. Ningekushauri project hii uanzie Ikimba area i.e swamps za ziwa IKIMBA kuanzia Kafunjo mpaka Rubale ina-cover eneo kubwa sana pande zote mbili left & right. Kuhusu CAGE CULTURE ziwa Victoria inafaa sana wenzetu Uganda wamejifunza kutoka mahali na wamefanikiwa, tatizo hapa ni kama mwenzetu anavyo sema: Inapokuja kwenye projects za kusaidia maendeleo mkoa wa Kagare kuna baadhi ya Viongozi Serikalini watatuwekea vigingi (i.e enviromental impact assement za kutunga tu hawatajali kinacho endelea Uganda) na hujuma hizi hazijahanza leo waliwahi kukwamisha a MEGA PROJECT ya "Ngono Project" kwa kutoa visingizio mbali mbali sio siri kwamba wana a latent ... ya Wakazi/Wazaliwa wa Mkoa wa Kagera, wanataka tu-mark time daima duni na katika hilo wamefanikiwa sana (We angalia malumbano yanayo endelea katika manispaa - hiyo ni part ya GAME). Nilikuwa naona Ulaya Taifa la Uganda linauza mchele aina ya Bismatti kwenye supermarkets za huko (nafikili asili ya mchele huo ni India au Thailand), mchele kutoka Uganda unauzwa kwa bei kubwa sana; nilipo jaribu kufatilia nakabiwa mchele huo unalimwa sehemu ya Jinja Uganda, we fikilia - climate ya Jinja ni sawa na ya Mkoa wa Kagera specifically Bukoba mjini, Vijijini na Mleba, mtu ungetemea Kituo cha utafiti cha Maruku kingekuwa na shahuku ya kwenda Jinja Uganda na kuangalia wenzetu wanafanya nini ili waje wahamasishe wananchi vijijini walime Mchele kwa kuwa soko lipo tele huko Ulaya, lakini wapi bwana hawajali!! Waganda vile vile wamefanikiwa kudhibiti ugonjwa wa munjahuko wa migambo, Je - Watafiti wa Maruku wanashirikiana vipi na wenzao wa Uganda!! Mkuu Kajansi au nikuite "Munyansi" umenifurahisha sana naona ukipewa nyenzo juhudi zako zinaweza kutoa good results ndani ya muda mfupi sana na kufanikiwa "kwiya abanyanzi O'mbunaku/obworo" uliyo kubuhu. Mungu akubariki.

Maoni murua kabisa. Hivi nini faida ya kituo cha utafiti Maruku kwa wakulima wa Kagera? Ukifika Maruku na Kanyangereko ni umasikini kwa wananchi wanaoishi kwa kutegemea kilimo cha migomba na kahawa!
 
Mkuu Byukaya! salute!

Ushauri wako wa kuanzia na Ikimba area nimeupenda sana kwani naona kwa caging warasimu watanichelewesha sana! na sasa mawazo yangu ni ikimba area na kwa kweli omulikafunjo yona twakubasa kulisa Bukoba na Mwanza yona Enfuru ezitakatifu.

Nimempata consultant mmoja ni Mjerumani lakini sasa hivi anaishi kisumu Kenya atasaidia sana nilikuwa nazichanga EURO 1500 ili niweze kumfikisha site na Mungu akipenda mwisho wa mwezi wa tisa nitampeleka site atoe ushauri wa kitaalamu na hapa nataka kuwashirikisha viongozi wa Mkoa kwani mimi ni kuchokoza na kuwapa mwanga the rest waendelee lakini sitawaacha peke yao hiyo itakuwa ni baada ya kuwapa vijana training kwa kushirikiana na huyo consultant!

Tatizo nguvu ya finance ni ndogo ndo maana naenda mdogomdogo na ukianza kuomba pesa kabla mambo hayajawa kwenye ground ulimwengu huu wakina Thomaso niwengi.

Tuendelee kupeana mbinu na uzoefu ili tufanikishe!
 
Well said,well done mkuu Rweye - pamoja sana.

Kwahiyo tuamie kule kwenye ile thread mpya ya maazimio tukatoe maazimio ili ndugu yetu Omutwale aweze kutusaidia katika zoezi linalofuata
Hii hatua tumeimaliza tuamie kule kwingine

Mwakola banyansi.
 
watusi wamewazidi kete, waungane na serikali kuwarudisha watusi kwani wanapora ajira na mali asili yao na kuipeleka kwao. wakiendelea kuwakumbatia na kuwaita wahaya itakula kwao.

Tusaidie mawazo tusaidie ushauri kuzodoana hapa si mahala pake make tumeshasemwa sana na tunaelewa kwahiyo tusaidie kwa ushauri na mikakati tutakupenda sana mkuu.
 
Mkuu Byukaya! salute!Ushauri wako wa kuanzia na Ikimba area nimeupenda sana kwani naona kwa caging warasimu watanichelewesha sana! na sasa mawazo yangu ni ikimba area na kwa kweli omulikafunjo yona twakubasa kulisa Bukoba na Mwanza yona Enfuru ezitakatifu.Nimempata consultant mmoja ni Mjerumani lakini sasa hivi anaishi kisumu Kenya atasaidia sana nilikuwa nazichanga EURO 1500 ili niweze kumfikisha site na Mungu akipenda mwisho wa mwezi wa tisa nitampeleka site atoe ushauri wa kitaalamu na hapa nataka kuwashirikisha viongozi wa Mkoa kwani mimi ni kuchokoza na kuwapa mwanga the rest waendelee lakini sitawaacha peke yao hiyo itakuwa ni baada ya kuwapa vijana training kwa kushirikiana na huyo consultant!Tatizo nguvu ya finance ni ndogo ndo maana naenda mdogomdogo na ukianza kuomba pesa kabla mambo hayajawa kwenye ground ulimwengu huu wakina Thomaso niwengi.Tuendelee kupeana mbinu na uzoefu ili tufanikishe!
Mkuu tunapashwa kuzingatia ushauri wa ndugu Rweye - katika suala la kuinua Mkoa wa Kagera kiuchumi tusihingize mambo ya itikadi za vyama, sijui unatoka tarafa gani nk tuki-entertain vices hizo tutakwama. Sasa turudi kwenye mada: Juzi juzi hapa Mh.Kikwete alipo kuwa ziarani Mkoani Kagera nilimsikia akizungumzia kuhusu ufugaji samaki, which means anajua kuna watu waliwahi kwenda Vietnam na kuona kinacho endelea huko, pili katika ofisi yake nadhani kuna kitengo kimeanzishwa kuhusu masuala ya Kilimo, sina shaka safari hii JK yuko seriouskuhusu Masuala ya Kilimo nk. Nimekueleza hili ili ujue kuna alternative avenue ya kupata funding ya project yako just in CASE lakini hilo alikuzuii kutafuta msaada kutoka kwa watu wengine/wafadhili na sisi tutajitahidi kukutafutia. Kitu kingine cha muhimu zaidi nakushauri ujaribu kuzungumza na Prof. A.K.Tibaijuka kuhusu project hii, yeye ni Agriculture Economist kama sikosei; mama huyu ana akili zinazo chemka sana na ni mfatiliaji mahili wa projects na mtu mwenye msaada sana ukimweliza ukweli - tukiweka maanani kwamba amewahi kukutana na watu wa Mataifa mbali mbali alipo kuwa UN, sina shaka anaweza kukupa ushauri mzuri tu wa kujenga. Pamoja sana KAJANSI.
 
Maoni murua kabisa. Hivi nini faida ya kituo cha utafiti Maruku kwa wakulima wa Kagera? Ukifika Maruku na Kanyangereko ni umasikini kwa wananchi wanaoishi kwa kutegemea kilimo cha migomba na kahawa!
Mkuu Timbilimu nimbona kileki "OBILIMU" Maruku wanategemea vile vile kilimo cha CHAI - umasikini mkoani Kagera hauko-confined Kanyengereko, Bibanja au Kihwa kila sehemu ya Mkoa ni umasikini uliyo kithili!!! Hata perenial crop tuliyo kuwa tunategemea (ndizi) zinakwenda ma maji, kahawa wanakopesha, samaki ndio hivyo tena!! Tumebaki na senene za msimu!
 
Mkuu tunapashwa kuzingatia ushauri wa ndugu Rweye - katika suala la kuinua Mkoa wa Kagera kiuchumi tusihingize mambo ya itikadi za vyama, sijui unatoka tarafa gani nk tuki-entertain vices hizo tutakwama. Sasa turudi kwenye mada: Juzi juzi hapa Mh.Kikwete alipo kuwa ziarani Mkoani Kagera nilimsikia akizungumzia kuhusu ufugaji samaki, which means anajua kuna watu waliwahi kwenda Vietnam na kuona kinacho endelea huko, pili katika ofisi yake nadhani kuna kitengo kimeanzishwa kuhusu masuala ya Kilimo, sina shaka safari hii JK yuko seriouskuhusu Masuala ya Kilimo nk. Nimekueleza hili ili ujue kuna alternative avenue ya kupata funding ya project yako just in CASE lakini hilo alikuzuii kutafuta msaada kutoka kwa watu wengine/wafadhili na sisi tutajitahidi kukutafutia. Kitu kingine cha muhimu zaidi nakushauri ujaribu kuzungumza na Prof. A.K.Tibaijuka kuhusu project hii, yeye ni Agriculture Economist kama sikosei; mama huyu ana akili zinazo chemka sana na ni mfatiliaji mahili wa projects na mtu mwenye msaada sana ukimweliza ukweli - tukiweka maanani kwamba amewahi kukutana na watu wa Mataifa mbali mbali alipo kuwa UN, sina shaka anaweza kukupa ushauri mzuri tu wa kujenga. Pamoja sana KAJANSI.

Bukyanagandi you don't seem to be serious! yaani hawa wasanii waliotufikisha hapa ndio bado unatushauri tuwategemee kutusaidia? kuanzia lini huyo Mhe Dk JK akawa serious na kitu cho chote? au ataanza kwa vile amebakiza miaka miwili? Taja mfano mmoja wa akili inayochemka ya Prof Tibaijuka ambayo hata akiondoka leo madarakani ataiacha kama legacy yake iwe ni mkoani Kagera au taifa kwa ujumla. Huu utamaduni wa kuwa na imani ya watawala wasiokuwa serious ndio umetufikisha hapa. Tunaamini tu kuwa JK au Mama Tiba ni wachapa kazi!!!!!!! Tunalala, tunaamka na mambo bado ni yale yale lakini tuna imani watatusaidia:( please give me a break!! Ukombozi lazima uanzie kwenye fikira. Tusipobadilika kifikira hatuwezi kufika po pote.
 
Mpiga Zeze,Alexism,Timbilimu na Bukyanagandi tumeishaongea mengi hapa naomba tutoke hapa kwenye kuongea tuhamie kwenye thread mpya ya maazimio twende tukaazimie tuanze utekelezaji

Haya si tumeongea ni kwa faida ya mkoa sasa tuamie kule tuache kupoteza muda tena..
 
Mkuu Timbilimu nimbona kileki "OBILIMU"
Aha ha ha Bukyanagandi umenikumbusha moja ya sentensi nimewahi kumwandikia timbilimu. Sijui kama yeye bado anaikumbuka?!

MPIGA ZEZE Bukoba kuna viongozi wanaogeuka miungu-watu wakipata madaraka lakini pia kuna wananchi wasiowatumia viongozi wanaoingilika. Vilevile kuna viongozi wanaowatumia watu wasio na maarifa, elimu wala ujuzi katika masuala ya kubuni, kuendeleza na kusimamia miradi ya uchumi na maendeleo kwa kuogopa kuwa karibu na wenye uwezo wanaoweza kuhatarisha vitumbua vyao. Katika haya yote upande wenye matatizo zaidi ni upande wa wananchi. Hatujaribu kuwafikia viongozi na pale tunapowafikia tunapeleka hoja za maslahi binafsi e.g sina karo ya watoto, mwezi mzima rubisi haijapita kooni (wansigoota Owatata/Owamawe?), nina mgonjwa Ndolage/Mugana nimeshindwa kumlipia matibabu, nyumba yangu inakaribia kuanguka, kwaya yetu inazindua album, n.k Nakuhakikishia zaidi ya asilimia 80 ya matatizo yanayoripotiwa kwenye ofisi za Wabunge ni shida binafsi. Pia zaidi ya asilimia 90 ya wapigakura wanaopata nafasi adimu ya kuongea na Wabunge hujipendekeza, huongea majungu na kuomba hisani binafsi. Kwa mwenendo huu tumewafanya Wabunge nao wahisi Ubunge ni kazi ya kugawa misaada na kutoa hisani. Wenye hulka za dharau na viburi wameota mapembe kwa kuwa tumewabadilisha waone uhusiano wetu na wao ni wa fukara na tajiri badala ya Mtumishi na Mwajiri.

Mie naamini katika doctrine ya agongaye hufunguliwa kama vile ambavyo aombaye hupewa. Tujaribu kwanza au kama tuliwahi kujaribu basi tuendelee kuwafikia viongozi wetu. Lakini zamu hii tuwafikie tukiwa na mawazo yenye manufaa kwa umma (watu wengi na si binafsi).
 
Back
Top Bottom