Wana JF wa Morogoro.

Don Mangi

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,198
852
Haya, njooni msamvu kunipokea, baada ya safari nyingi za hapa na pale narudi moro, . .i hope kamji ketu hakajabadilika saana. . .
 
Utanikuta nakusubiri, umesema umevaa shati la njano , suruali nyekundu na raba za blue eeh?..
 
Utanikuta nakusubiri, umesema umevaa shati la njano , suruali nyekundu na raba za blue eeh?..

Umeona vibaya, shati la machungwa, suruali ya pink na viatu vyekundu na koti kuubwa la njano. Nimetoka eeh?
 
Umeona vibaya, shati la machungwa, suruali ya pink na viatu vyekundu na koti kuubwa la njano. Nimetoka eeh?
Aah kumbe nilikuchanganya na huyo jirani yako uloketi nae, umetoka sana DM... Unajua kupangilia rangi lol.
 
2po cwa xana, ukirudi ntakupa offer ya kukupeleka kaumba 4 dis nyt upumzishe akili yako.
 
Anko mkare mtu wangu lol... Mbona hufiki, jua linazidi kuwa kali bana afu mie sijabeba hata hela ya maji.

Pole jaman, nenda hapo pembeni ya msamvu kuna kibanda cha makuti unywe maji tani yako dearest, au nitumie no yako ya voda niku m-pesa,
 
Back
Top Bottom