Wana jf ufafanuzi kuhusu somo la communication skills

Mpigamsuli

JF-Expert Member
May 24, 2012
3,885
575
wana jf naomba mnijuze hasa hili somo la communication skills linahusika na nini hasa huko chuo? plz majib yawe ya kina!
 
maarifa ya mawasiliano/stadi za mawasiliano...!
ni mbinu na njia mbalimbali za namna ya kuwasiliana katika mazingira tofauti! mfano: mzaza na mtoto,mwalimu na mwanafunzi,mfuasi na kiongozi, na kadhalika
katika somo hili utajifunza namna ya kuuliza,kuandika barua(KIKAZI/KIBIASHARA),kupiga na kupokea simu na mengineyo mengi
 
Dr.Kadeghe,atakupokea kwa mikono miwili..ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom