Wana JF tujadili hii picha

Wana JF tujadili hii picha

Watanzania ni zaidi ya waoga!Vita yetu anatupigania mwingine!
 
Kila kitu mpaka tufanyiwe jamani... Kesi imeonyesha kuwa wabongo waliramba chuza, lakini hakuna hata kiongozi mmoja aliyejitokeza kusema kitu.
Mwizi siku zote humtetea Mwizi mwenzake!
 
Watanzania sijui kwanini tunapenda kuburuzwa, leo hii tunasaidiwa na watu wasio kuwa Watanganyika?
Watanzania ni zaidi ya waoga!Vita yetu anatupigania mwingine!
 
watanzania ni watu wamuogopao Mungu,ambae hapendi vurugu wala uhasama. Mungu apewe sifa!
 
Watanzania sijui kwanini tunapenda kuburuzwa, leo hii tunasaidiwa na watu wasio kuwa Watanganyika?
na tutaendelea kuburuzwa hivi mpaka siku ambayo akili zetu zitakuwa flashed na matatizo yanayotukabili
 
KILA SIKU TUNALALAMIKA LAKINI HATUCHUKUI HATU LEO UMEME UMEPANDA , GHARAMA ZA HUDUMA ZA SIMU PIA, KESHO MAFUTA TUKIMBILIE WAPI KILA SIKU TUMEKUWA KAMA KIDONDA NDUGU KISICHOSIKIA DAWA? kWANINI TUSIWAJUE WACHAWI NA KUCHUKUA HATUA?
 
Watanzania sijui kwanini tunapenda kuburuzwa, leo hii tunasaidiwa na watu wasio kuwa Watanganyika?
Na hatutobadilika...tutabaki kua watu wakulalamika na kuburuzwa tu!Aibu iliyoje!
 
watz waoga, wacheki watu wa cote d'ivore walivyo wazalendo na nchi yao
 
Back
Top Bottom