halafu manyonyo yenyewe yawe mabaya sasa.Nguo hizo mziangaliage vizuri,
usijekuta kagauni kameshuka na manyo nyo yote yakabaki peupe mbele ya akina mkwe.
Me nimeona n0 2 iko bomba
Namba mbili imetulia...
namba mbili bora kwangu.
halafu manyonyo yenyewe yawe mabaya sasa.
Sasa rangi ya mwaka ntapata wapi mkuu?[/QUOT rangi ya mwaka ni chenza ila pink siyo mbaya lkn inapendeza ukichangaya na black.
Sasa rangi ya mwaka ntapata wapi mkuu?[/QUOT rangi ya mwaka ni chenza ila pink siyo mbaya lkn inapendeza ukichangaya na black.
Ahaaa powa mkuu
mchina hausomi!
gauni namba 2 inafaa kama mwanamke ana shape yake, ingawa mkanda wa pili uliopita begani nina shaka kama utapendeza iwapo ataweka shela, unless avae veil(sijui nimepatia jina, vile kama vikofia, sio virefu)
gauni namba moja sijalipenda hivyo siwezi sema chochote
Mambo ya kutoa siri zangu utakuja kukosa vitu vizuri Mwali!
Sorry.... kumbe upo wangu?Mambo ya kutoa siri zangu utakuja kukosa vitu vizuri Mwali!