Wana JF, ni nyumba ipi nzuri ikiwa utajengea matofali ya kuchoma au ya block?...

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Nchi nyingine hutumia matofali ya kuchoma kama Marekani,Rwanda na baadhi ya nchi za Ulaya ktk baadhi ya majengo,

Lakini ktk nchi hizo hizo zipo nyumba za block,sasa ni nyumba Ipi nzuri?
Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…