bidhaa feki ni ipi?

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,738
nimekaa leo nikajiuliza bidhaa feki ni ipi? nijakosa jibu,

kwa sababu naweza tolea mfano kipindi au miaka ya nyuma kulikuwa na camera ambazo ukipigwa picha mara uambiwe imechomeka tofauti na sasa picha nzuri na ni bora,

je? ile camera ya kipindi cha nyuma twaweza kuiita kuwa ni feki?

pia kuna bidhaa nyingi tu za kipindi cha nyuma ambazo huwezi zilinganisha na baadhi ya bidhaa za sasa, je? ni feki,

pia kuna bidhaa ambazo zipo nyingi kwa sasa mfano unakuta simu inauzwa 18 na nyingine inauzwa 25, je? ya 18 ni feki?

kwa ujumla mm kwa mtazamo wangu hakuna bidhaa feki bali ni ubora kupishana tu, kitu feki ni kile ambacho huwa kama sanamu au kikaragosi na hakifanyi chochote,



Sent from my TECNO CA8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom