Muslim? If so usiogpe. Mtaje Allah kila baada ya sala ya fardhi, usisahau kuzisoma zile sura tatu za kujikinga na uchawi na malizia na Ayatu kursiy. Lala na amka na dua. Lala na udhu na mali yako penda sana kutoa sadaka kwa wahitaji. Kushney.
Usikubali kujikinga na ushirikina kwa ushirikina. Ni haramu na pia ni kujiondosha mwenyewe kwenye imani yako ya uislamu kwani mshirikina ni KAFIRI kwa mujibu wa mafundisho sahihi ya uislamu hata awe kiongozi wa dini isipokuwa tu kama atatubu.
Kila la kheri.