Wana JF Naombeni ushauri kwa hili.

Mosses Mashili
Hii post nimeikuta humu jamvini lakini katika uzi mwingine tu...

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/484399-viungo-kuuma-siku-kadhaa-mara-ya-sex-msaada-plz.html

Je, unaweza kunisaidia ufafanuzi kidogo kwenye hizo sehemu zenye maandishi mekundu, maana kuna kengele ya kutokukuamini imelia kichwani mwangu haswa baada ya kuhusianisha hayo maandishi na huu uzi...


 

Ndugu yangu watu8, ukisoma vizuri uzi wa huyo kaka, ni kweli alifanya makosa kumpa mimba yule dada, lakini ni kosa ambalo alilijutia na baadaye akaamua kuubeba mzigo wa malezi ya mama na mtoto. Yeye binafsi hakukimbia kulea familia yake maana hata baada ya kuamia Dar hakutafuta mke mwingine, bado alirudi kumfuata mama na mtoto wake. Kilichotokea ni hali ya huyo dada kutokuwa mwaminifu na kufikia kupewa mimba! Naamini kwa maelezo yake, isingekuwa mimba, sidhani kama kungekuwa na kikwazo kwenye ndoa yao. Si jambo zuri, kuwa tayari kuteswa emotionally na pyschologically na mtu kwa kisingizio kidogo tu eti kwa sababu alikusaidia kukutunzia siri hapo zamani. Kucapitalize kwenye weakness ya mtu si jambo jema hata kidogo kwenye mustakabali wa maisha ya mahusiano!

Tutofautishe kosa la mtu "kumpa mimba girl friend" wake na kosa la "mwanamke kupewa mimba na mwanaume mwingine" inhali ana mwanume aliyezaa naye na anayetarajia kuwa mume wake. Kosa hili la pili, lina uzito tofauti sana maana linaonyesha hali ya huyo dada kukosa uvumilivu. Kosa la pili hata kwa wenye ndoa, baadhi ya vitabu vya dini vinatoa ruksa kumuacha mke/mume bila jamii kukushangaa.
Binafsi napata ugumu sana kumshauri huyo ndugu kumrudia huyo dada, ingawa najua wengi wanaweza wasinielewe ...
 

kwanza pole kwa yote mkuu..

huyo binti yupo na huyo mtoto wake hapa Boma?

kuna kazi naweza kumpatia..nimekuPM
 
kwani, unaomba ushauri au umesimulia hadithi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…