Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,354
- 108,475
Mosses Mashili
Hii post nimeikuta humu jamvini lakini katika uzi mwingine tu...
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/484399-viungo-kuuma-siku-kadhaa-mara-ya-sex-msaada-plz.html
Je, unaweza kunisaidia ufafanuzi kidogo kwenye hizo sehemu zenye maandishi mekundu, maana kuna kengele ya kutokukuamini imelia kichwani mwangu haswa baada ya kuhusianisha hayo maandishi na huu uzi...

Duuuuh pole sana best, hilo tatizo hata mm lishawahi kunitokea mara baada ya kudoo na manzi wangu (nilipiga bao nying sana usiku huo coz of long time no see) hivo kesho ake nikiwa nasafiri frm mwanz to rchuga, hali haikuwa nzuri, kiuno kilikuwa kinauma sana na kila joint ya mwili ilikuwa inaauma plus maumivu makali wakat wa kukojoa...
SOLUTIONS
Nilienda kwa doctor (kaloleni) nkamweleza cause of the problem, kama kawaida akanpima mkojo bt no results found ikabidi anipe dawa za kutuliza maumivu tuuu... Matokeo yale yalinifanya nisiaamin sana so ilibidii nienda kwa mmasai mmoja hapa container arusha nkamweleza hilo tatzo, masai aliniambia kuwa hali ka hyo ni dalili ngiri alinipa dawa za elfu mbili na baada ya kutumia tatzo hilo halijanitokea tena mpaka leo na naendelea kuenjoy na manz wangu ka kawaida