king suleman
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 1,749
- 1,148
Mkuu Tunataka Asome O Level , neno la Mungu KivipiAsome neno la Mungu
sawa ila nataka aanze kidato cha 2 lakin kwa sasa bdo hatuna ela ya kumpeleka private ndo mana tunataka kuanza kusomea nyumbani through video taratibu kuepuka kupoteza mdaMfumo wa Elimu kwa sasa ni mgumu sana...
Mtafutie shule ya Private aanze kidato cha kwanza.
Thanks ,mkuu... elimu ipo tu. sidhani kama atapata elimu kwa hzo CD unazodai atanufaika vzr, kama hapo awali ya darasani ilimshinda.
nakushauri mtafutieni shughuli nyinginezo za ujasiriamali huku akiendelea kupata kipato kitakachomwezesha kukidhi mahitaji yake, baadae atakuja kusoma tu mambo yakiwa njema.. all the best.
Una nia nzuri ila sidhani kma tutorial za CD zitamsaidia kujifunza vyema kumbuka tutorial inaflow tu huwa tofauti na mwalimu wa kawaida mbaye utamuomba arudie kukuelewesha jambo flani linalokutatizaHabarini wana jf ,
Ninamdogo wangu alimaliza o level miaka mi nne iliopita na hakufaulu kutokana na sababu mbili;
1. Yeye hakua na juhudi na hakua anajua anasoma ili iweke
2. Sababu za kifamilia ziliongeza changamoto kutohudhulia shule kwa muda mrefu , jana amenieleza mwenyewe kuwa ana nia ya kurudi shule na anajua ni wapi kwa upande wake alikosea anataka kurudi shule lakini kipato chetu hakiruhusu kumpeleka hata kwa mwl ampigishe pindi NAULIZA KAMA KUNA VIPINDI VYA VIDEO(CD) VYA WALIM WA KI TZ AMBAVYO NAWEZA PATA ILI AWE ANASOMA TARATIBU ILI TUSIPOTEZE MUDA mpaka tutakapo pata hela ya kulipia kituo nk, nawasilisha.
asante kwa ushauliUna nia nzuri ila sidhani kma tutorial za CD zitamsaidia kujifunza vyema kumbuka tutorial inaflow tu huwa tofauti na mwalimu wa kawaida mbaye utamuomba arudie kukuelewesha jambo flani linalokutatiza
Ni mara kumi utafute hata mwanafunzi hapo jirani au ndugu akitoka shule au hta weekend awe anampa mbili tatu kuhusu topic mbalimbali za sekondari yaani hyo gharama ya kununulia CD ni heri mkampa huyo mwanafunzi atakayekuwa anakuja kumfundisha itakuwa motisha pia maana ni rahisi kufundishwa uso kwa uso maana hta usipoelewa una nafasi ya kuuliza na kueleweshwa ila kwa tutorial inahitaji akili iliyochangamka sana
Huo ndio ushauri wangu
Ok,Afanye kazi kutafuta hela kwanza.. aje ajiendelezee,kusoma kupo tu..
Mungu awatangulie. Cha muhimu pata sehemu ya QT ambayo iko registeted na inatumbulika. Ikibdi uliza kabisa watu wa kwenye hiyo center ukienda for consultation.Arnold Amos nashukulu kwa ushauli wko kuhusu qt alitaka kwenda mi nikakataa nikijua haina maana kumbe inatambulika ngoja j3 nifanye utaratibu angalau awe ana hudhulia na muda bado upo , thump up
amen & thanks ntafanya hvoMungu awatangulie. Cha muhimu pata sehemu ya QT ambayo iko registeted na inatumbulika. Ikibdi uliza kabisa watu wa kwenye hiyo center ukienda for consultation.
Mkuu njoo pm nitakusaidia sana juu ya mdogo wako!!Habarini wana jf ,
Ninamdogo wangu alimaliza o level miaka mi nne iliopita na hakufaulu kutokana na sababu mbili;
1. Yeye hakua na juhudi na hakua anajua anasoma ili iweke
2. Sababu za kifamilia ziliongeza changamoto kutohudhulia shule kwa muda mrefu , jana amenieleza mwenyewe kuwa ana nia ya kurudi shule na anajua ni wapi kwa upande wake alikosea anataka kurudi shule lakini kipato chetu hakiruhusu kumpeleka hata kwa mwl ampigishe pindi NAULIZA KAMA KUNA VIPINDI VYA VIDEO(CD) VYA WALIM WA KI TZ AMBAVYO NAWEZA PATA ILI AWE ANASOMA TARATIBU ILI TUSIPOTEZE MUDA mpaka tutakapo pata hela ya kulipia kituo nk, nawasilisha.
nashukulu kwa msaada wako ila natumia itel ndogo ya batan zile zenye opera mini na free basic yani hata pm haiwezi, hvo naomba ni txt kwa no yangu 0769901199 au 0712354516 asanteMkuu njoo pm nitakusaidia sana juu ya mdogo wako!!
Poa mkuu nitakucheki muda sio mrefunashukulu kwa msaada wako ila natumia itel ndogo ya batan zile zenye opera mini na free basic yani hata pm haiwezi, hvo naomba ni txt kwa no yangu 0769901199 au 0712354516 asante