Matokeo1
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 231
- 42
Baada ya kutuma CV kwenye makampuni na mashirika kibao hapa Tanzania bila kuona mafanikio yoyote, sasa naamua kuuanza mwaka door to door programme, nikiwa na maanisha nataka kuandika barua naatachi kila kitu napita maofisini, tatizo langu ni hili ;1 Natakiwa niaddress kwa nani? mara nyingi kwenye matangazo ya kazi mara uone maombi yatumwe kwa MKURUJENZI, mara tuma kwa DIRECTOR OF......, nyingine HR, hapa ndo pananichanganya 2 Je TITLE YA JOB APPLICATION INAKAAJE WADAU, maana hawajatangaza kazi ila unarushia kwa mtego tuu, nisaidieni wadau.