musabuze
Member
- May 25, 2018
- 30
- 25
Nimefanya Jaribio la Kuunda Forum Ya Ujuzishare
BONYEZA HII LINK HAPA UjuziShare
Ni Forum ya kushare ujuzi alionao mtu katika vipengele mbalimbali na naomba muijaribu katika mambo yafuatayo
-Kuregister na Kulogin (Haihitaji Activation)
-Kucreate Thread
-Reply Thread
-Edit Profile
Na Vinginevyo Utakavyojisikia
Users 5 wa mwanzo watakuwa moderators
Baada ya hapo utacomment,kushauri au kupendekeza vitu vya kuboresha maana lengo la kufanya hivi ni Kujifunza Forum Creation ili Tuweze kuwa na kitu Kikubwa Baadaye kama ilivyo JF na Platform zingine kama Hizo