Wana jf,naomba kujua kuhusu joslin | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana jf,naomba kujua kuhusu joslin

Discussion in 'Celebrities Forum' started by EZZ CHEZZ, Apr 20, 2011.

 1. EZZ CHEZZ

  EZZ CHEZZ Member

  #1
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  joslin mchalla ni miongoni mwa wasanii wachache wa muziki wa kizazi kipya kwa hapa nyumbani waliopata kuimba nyimbo zenye kuelimisha na zenye kuigusa jamii,na hasa juu ya ukimwi.sijamsikia kwa muda mrefu sasa.yeyote anayefahamu kuhusu huyu jamaa tafadhali,ikibidi contact zake.thanks
   
Loading...