Arabela kipenzi naomba huyu Filipo huyu akifika huko ukae naye mbali kabisa huyu,ni afadhali ya kinana kuwa karibu naTembo kuliko wewe kuwa karibu na huyu jamaa..
Ha ha haaaaa! Mbavu zangu mie jamani, mbona unalia St. Paka Mweusi?? unamwogopa sana Filipo eh??? Usijali marejesho kambana sana hawezi kwenda kwa Arabela

Sio kwamba namuogopa ila jina lake linafanana na la kaka yangu,halafu bahati mbaya sana wana tabia za kupendwa,hata wewe tafadhali kaa mbali na Filipo..