wana jf,huyu yupo timamu kweli?

wana jf,huyu yupo timamu kweli?

Wewe ndio una matatizo kwanini ulimwambia mambo mazito mgeni wako, kikawaida unapopata mgeni kama jamii unayoishi nayo ina matatizo kinachotakiwa si kumwambia bali ni kumwacha ajionee mwenyewe kwani kama jamii unayokaa nayo ina matatizo ambayo yanapelekea kukudhuru kwa vyovyote ungekuwa umeripoti sehemu panapohusika hivyo hata kama ungemwambia ndugu yako ingekuwa haina shida. Ulichomwambia wewe ni majungu ndio maana hata method iliyotumika kupata ujumbe kutoka kwao ni ya kimajungu majungu (wapambe wako), kwa maelezo yako ni kwamba unatakiwa ukae na jirani zako ili uweze kuweka sawa kwani wanaume huwa wanaishi kwenye jamii ya aina yoyote na huwezi kusikia kelele, kama mwanamume unakuwa hivi na majirani unaishi kwa hofu je mkeo au mrembo wako aishije sasa, huyo mgeni mtu mzuri sana amefikisha ujumbe kwa wahusika na itakusaidia sana kuliko unavyoyaweka rohoni (assume kwamba wewe ni mwanaume kutokana na jina linaanza na Mr Mgeni)
 
Epuka umbea ndo unaokuponza huwa unamwambia mtu mitaa bila kuwazungumzia watu!Ungetumia madhali ya kijiji cha jiran kumwelewesha siyo majiran zako ona sasa utamwagiwa maji yenye ukoko!
 
kwa jinsi mgeni wangu alivyo alafu nisingempa sarasa ningebeba zigo la lawama anyway sio mbaya wataninunia wakichoka watanisemesha sinaga time na mtu
 
Wewe ndio una matatizo kwanini ulimwambia mambo mazito mgeni wako, kikawaida unapopata mgeni kama jamii unayoishi nayo ina matatizo kinachotakiwa si kumwambia bali ni kumwacha ajionee mwenyewe kwani kama jamii unayokaa nayo ina matatizo ambayo yanapelekea kukudhuru kwa vyovyote ungekuwa umeripoti sehemu panapohusika hivyo hata kama ungemwambia ndugu yako ingekuwa haina shida. Ulichomwambia wewe ni majungu ndio maana hata method iliyotumika kupata ujumbe kutoka kwao ni ya kimajungu majungu (wapambe wako), kwa maelezo yako ni kwamba unatakiwa ukae na jirani zako ili uweze kuweka sawa kwani wanaume huwa wanaishi kwenye jamii ya aina yoyote na huwezi kusikia kelele, kama mwanamume unakuwa hivi na majirani unaishi kwa hofu je mkeo au mrembo wako aishije sasa, huyo mgeni mtu mzuri sana amefikisha ujumbe kwa wahusika na itakusaidia sana kuliko unavyoyaweka rohoni (assume kwamba wewe ni mwanaume kutokana na jina linaanza na Mr Mgeni)
ni kweli unayoyasema,kutokana na style ninayoishi sijawai kukwazana na jirani zangu hata siku moja,nimevumilia mengi na yote ni kutokana na busara zangu ilihali wao wananichokonoa kwa kila dizaini na sasa wamepata sababu na mimi nilivyosijali nafanya yangu.Hivi mkuu naomba nikuulize,mfano jirani yako mmoja wa karibu ni mchawi wa grade1 na kasadikika kaisapoteza watu ki.azingira tata sasa Je?kama ndo tu assume labda mtoto wa ndugu yako kaja na hajui lolote utaacha kumueleza?
 
Uchawi ni sayansi ya jadi hata bila kumweleza akiamua atamchukua tu mkuu, kikubwa ni kumpa overview ya jinsi ya kuishi na watu bila kutaja madhaifu ya mtu mtaani kwa kuwa yupo ugenini ili umpe room ya kutumia akili yake maana binadamu mwenye akili timamu ukiondoa mtoto huwa inachukua muda kuwazoea watu. Kama ni ndugu wa mbaliiiiiiiiii sanaaaa nakushauri usipende kuwa entertain sana kwako kiasi cha kukaa mwezi mzima bila kuwa na shughuli ya kufanya na madhara yake ndio hayo. Ukiamua kufunga vioo nakushauri hata hao wapambe wako achana nao yaani mkikutana ni kuongea mambo ya maendeleo na wakianza kuongea mambo ya watu unabadilisha topic, pia kama hapo ni kwako jikusanye mdogo mdogo unapiga uzio wako wa matofari ili kupunguza eye contact na watu wengi ili ubakize changamoto na majirani wa mbele (yataisha tu hayo kama utakaa kimya lakini kunapotokea issue kama misiba una shiriki na kuchukua time yako)
 
hapana mkuu sijamgongo wana jf,noma sana yaani wanakupa ushauri wenye vina ulioenda shule,mawazo yenu nimeyafanyia kazi
JF ndio penyewe si unaona hata huu muda unaoutumia hapa unakuepusha na mengine na wakati mwingine watu wanaweza kukuona unaishi kwa ratiba, ukitoka hapa JF unaoga unatoka kidogo kisha unarudi nyumbani na familia yako mambo yanapita
 
Uchawi ni sayansi ya jadi hata bila kumweleza akiamua atamchukua tu mkuu, kikubwa ni kumpa overview ya jinsi ya kuishi na watu bila kutaja madhaifu ya mtu mtaani kwa kuwa yupo ugenini ili umpe room ya kutumia akili yake maana binadamu mwenye akili timamu ukiondoa mtoto huwa inachukua muda kuwazoea watu. Kama ni ndugu wa mbaliiiiiiiiii sanaaaa nakushauri usipende kuwa entertain sana kwako kiasi cha kukaa mwezi mzima bila kuwa na shughuli ya kufanya na madhara yake ndio hayo. Ukiamua kufunga vioo nakushauri hata hao wapambe wako achana nao yaani mkikutana ni kuongea mambo ya maendeleo na wakianza kuongea mambo ya watu unabadilisha topic, pia kama hapo ni kwako jikusanye mdogo mdogo unapiga uzio wako wa matofari ili kupunguza eye contact na watu wengi ili ubakize changamoto na majirani wa mbele (yataisha tu hayo kama utakaa kimya lakini kunapotokea issue kama misiba una shiriki na kuchukua time yako)

umenifungua macho mkuu asante
 
Habari zenu wana jf,

Ni rafiki yangu wa kike yupo likizo taishi nae hadi likizo yake itakapoisha.

Jamani mimi ninavyojua kwa taratibu zetu za Kiafrika mgeni anapokwenda sehem kuishi huwa anapewa backgraund ya eneo husika ili ajue jinsi ya kuishi nao vizur na kujihami kwa wabaya kama wapo.Basi nami mgeni wangu nikaona ni vema nimueleze tabia za watu wa hapo walionizunguka ili kuepusha matatizo,kiukweli nilimpa semina na msititizo mkubwa sana na maneno niliomueleza ni mazito sana sababu jamii ninayoishi nayo nashindwa kusimulia kuna mambo mazito ajabu laiti kama nikimuambia mhusika hayo maneno sidhani kama hata salam yangu atapokea.Sasa basi huyu binti nilichomwambia kaenda kuwaeleza nadhani tena yooote hao majirani maana wananinunia sio kawaida na wapambe wangu wamenipa taarifa walizozipata mtaani kwamba nimemtuma huyu binti awaeleze nilichomueleza.Sijui hatima yake na kwa sasa naishi kwa mashaka.

Muache hakufai
 
Huyu Mr mgeni namfananisha na Google. Au Google kaja na ID nyingine.
 
sijaelewa lengo lako

Lengo langu ni kwamba ulipaswa kumwacha ajionee na kuchambua mwenyewe kuliko kumweleza chuki zako kwa majirani zako ambazo huenda zinatokana na tabia zenu kutoaendana lakini yeye waweza kuta zinaendana nao.
 
Back
Top Bottom