Wana jf hili nalo muhimu..........

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,658
Hapa jf sometimes mtu anakuja na post akisema ana habari za
uhakika kwa jambo fulani lakini baadae hizo habari zikiwa tofauti hatupati
maelezo ya kutosha....

Mfano kuliwa na post zamani zikisema habari za uhakika kuwa
kikwete hatagombea tena urais kwa sababu za kiafya....

But now anagombea no one aliekuja kutueleza what happened????

Na habari nyingine nyingi kama vile hussein mwinyi kugombea urais 2010
na kadhalika....

Saa ushauri wangu kwa wana jf,kama mtu umekuja na habaro ambayo

it turn out imekuwa tofauti na ulivyoripoti basi pawepo na maelezo
ya ufafanuzi.....

Mimi nafikiri itasaidia sana........
 
nafikiri inabidi uanze wewe mwenyewe kwa kutafuta habari hizo na kukumbushia unaonaje mmeku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…