Wana JF hawa ajira za Udom lini kitaeleweka?

big f

Member
Nov 26, 2012
60
0
Wadau naomba msaada kwa mwenye tetesi kuhusu ajira za UDOM hasa kwa tuliofanya written interview tarehe 17/11/2012 zitaanza lini na nini kinaendelea atujuze, maana wa Administrative posts hatujaitwa kwenye Oral Interview
 
zee la weza

Senior Member
Feb 7, 2012
190
0
kama jina lako si la dini fulani usipoteze muda,tafuta kazi sehemu nyingine. Udom nmesoma pale pana udini sana.
 
xiande

Member
Oct 3, 2012
90
0
mkubwa TA law oral mlifanya lini??mana kuna wa kada ya afya walifanya tokea 02/11/2012 hadi leo holaaaaa hamna kinachoendelea..
 
big f

Member
Nov 26, 2012
60
0
kama jina lako si la dini fulani usipoteze muda,tafuta kazi sehemu nyingine. Udom nmesoma pale pana udini sana.

Sawa mkuu! kama hilo lipo na linaendelea wajichunge lakini Mungu ni mmoja na ipo siku udini wao utaota mabawa na hawawezi kukaa wa dini fulani peke yao katika taasisi yeyote ya serikali la sivyo wtangaze wazi kuwa ni taasisi ya dini hiyo. Hoja ya udini inazungumzwa sana katika vyanzo mbalimbali vya habari lakini Uongozi wa UDOM uko kimya haukanushi wala nini, nadhani waamke kama wako safi waueleze umma ukweli kinyume chake ni kuthibitisha kuwa ni wadini kweli. Kikula wake up wanakuchafulia chuo
 
prakatatumba

JF-Expert Member
Oct 17, 2011
1,330
1,250
Nimepigiwa simu leo jion niende kazini immediately ila post ni TA, INTERVIEW NILIFANYA TAREHE 20/11/2012
 
big f

Member
Nov 26, 2012
60
0
Nimepigiwa simu leo jion niende kazini immediately ila post ni TA, INTERVIEW NILIFANYA TAREHE 20/11/2012

Hongera sana mdau Mungu akupiganie, kazi njema, you will do the best of it. Kunako jipya lolote tujuzane me niliomba Warden na interview ya watu kibaaao tulifanya 17/11/2012
 
prakatatumba

JF-Expert Member
Oct 17, 2011
1,330
1,250
Ahsante sana mkuu, nitafanya kazi yangu na kufuata maadili ya kazi yangu. Mungu anitangulie. Bila shaka tutajuzana tu usijali
Hongera sana mdau Mungu akupiganie, kazi njema, you will do the best of it. Kunako jipya lolote tujuzane me niliomba Warden na interview ya watu kibaaao tulifanya 17/11/2012
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom