Hivi huu wizi kutoka Tigo ni laini yangu tu a zote,!!? Kila nikiweka vocha hata iwe ya 500 ninunue vocha kupitia muamala wa kibank Tigo pesa...ni lazima nikatwe shilingi 100 hata ninunue vocha Mara kumi kwa siku moja ni lazima nikatwe Mara kumi....[emoji15]..na iwapo nikaweka salio nisilitumie nikilala asubuhi hata shilingi hakuna[emoji35]
Wanna JF nielezeni nanyi laini zenu ni kama yangu au Kuna ujanja nafanyiwa ninunue laini nyingine...
Na Kama ni wote Kodi hii ni ya Tigo au ya serikali...inayotozwa kimya kimya...nchi hii haki tutaisha kwa hizi Kodi....[emoji19]
Nasikitika Sana maana wananiharibia burget yangu, nikiweka 1000 wanakata 100 nashindwa kujiunga inabidi niongeze salio pasipo kupangilia.....
Dah...