lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Za majini nipatie jina la stand yake nisafiri nayo pls
nenda bandarini utayakuta
Za majini nipatie jina la stand yake nisafiri nayo pls
Mnakumbuka lile sakata la yule mwanamke aliekaaga juu ya paa la nyumba baada ya bank kutaka kuuza nyumba kule Mbezi???
Natumaini Sumry hatakaa juu ya basi..........
U don't know about this story Preta, Sumry alikopa bank kwa udhamini wa yule jamaa mwenye nyumba ya Mbezi, akashindwa kulipa...bank wakataka kupiga mnada ile nyumba iliyodhaminiwa....mke akaja juu kupinga uuzwaji wa nyumba na ndio maana akapanda juu ya paa😎
Nenda karibu na ofisi za smile pale mikocheni utazikuta kibao
Kwa anayejua atujuze.Mi huo ndo usafiri wangu