Wana JamiiForums, basi za Sumry ziko wapi?

Wana JamiiForums, basi za Sumry ziko wapi?

kama usafiri wako huwa unayapatia wapi????


njoo pm nimelificha moja
 
Kuna wanaodai ndiyo Mbeya Express.

Kuna moja naliona linaenda Bukoba Kama sikosei.....
 
Kuna wanaodai ndiyo Mbeya Express.

Kuna moja naliona linaenda Bukoba Kama sikosei.....

mbeya express ni za kampuni ya sumri.
songea, mbeya, bukoba, zipo sana tu.
routes zenye mabasi mengi sumri ameanza kuachana nazo badala yake anakuja na jina jipya la mbeya express. mfano Dar to Mbeya.
 
huyu bwana inasemekana kashindwa kulipa mkopo stanbic na alichukua kwa jina la kampuni sumry, ko kabadili jina la biashara ili kuendelea kusavaiv ingawa njia zake mama kama swanga mby na mpanda amekabwa na ndenjela na ndenjela kapeleka vitu vya kutoka kwenye box( vipya) ko ameyumba sana.
FUMBENI MACHO TUMUOMBEE
 
Mkuu ajabadili chochote magariyako depo kamayalivyo wanasubiri mdakupiga mnada jiandae kamawalikunyima ya scandnavia ma airmsaehayo sasayanakuja
 
Zitakuwa zimekufa kifo cha pesa za thumni aka 50 cent.
 
Back
Top Bottom