Yaani mkuu kuna shushu ananfatilia vip inawezakana kwa mtando ninaotumia asijue nipo mkoa gan maana too much sasaInawezekana kwa kutumia IP filters.
Ila mtu akitaka anaweza kuzichenga hizo IP filters, kwa mfano, mtu anaweza kuwa Tanzania lakini kwenye mtandao akaonekana kama yuko Marekani. Au mtu yupo Marekani lakini kwenye mtandao akaonekana kama yupo Tanzania.
Kwa kutumia VPN - Virtual Private Network kama www.hide.me
Unachagua nchi yoyote unayotaka kuonekana kwamba upo na mtandaoni unaonekana unatoka nchi hiyo.
Hiyo link ya www.hide.me unalipia dola 140 kwa mwaka (at least mimi nililipia hivyo mwaka jana) unakuwa ukiingia mtandaoni unaweza kubadilika kuwa huonekani kwamba uko nchi uliyopo, ukachagua nchi nyingine.Habari zako zote zinakuwa scrambled na VPN mtu kukudukua inakuwa vigumu.Yaani mkuu kuna shushu ananfatilia vip inawezakana kwa mtando ninaotumia asijue nipo mkoa gan maana too much sasa
Google wana api za hiyo ishu, Mfano unataka geolocation then, chakwanza kama unatumia php [programing language ] uta detect user ip address then una istore kwa google api then kwenye content zako unachofanya ni if and else tu. na kila ktu kitakua poaHabari zenu,,
Hivi katika website kuna uwezekano wa kudetect inchi ambayo mtembeleaji anatokea na aweze kuona content za nchi yake tu? Mfano kama hapa jamiiforums pangekuwa panajumuisha watu kutoka nchi zote duniani halafu wewe kama mmiliki wa jamiiforums ukataka labda watembeleaji wote wa kutoka Tanzania wakutane/waone post za watanzania tu na kama watembeleaji wanatokea nchi nyingineyo basi waone/wakutane na post za watu wa nchi yao tu... Je, hilo linawezekana? namna gani linawezekana?
ThanksGoogle wana api za hiyo ishu, Mfano unataka geolocation then, chakwanza kama unatumia php [programing language ] uta detect user ip address then una istore kwa google api then kwenye content zako unachofanya ni if and else tu. na kila ktu kitakua poa