wana hela.. hawana upendo.

wana hela.. hawana upendo.

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
2,469
Reaction score
288
famine.jpg
ndio tunachoombewa na dunia ya magharibi... na viongozi wetu wanashabikia
 
ndio tunachoombewa na viongozi wetu , dunia ya magharibi inaingilia kati kwa kutuchelesha kufikiahuko . Fikiria mfano huu: makusanyo yetu ya ndani trilions 6. bajeti ya matunizi ya kawaida tr.8!!! dunia ya magaribi imeongeza tr.2 walipane posho, na pia wameongeza tr. 4 na ushee za " maendeleo". hapo ni nani anataka tuliwe na tai???
 
there is no picture which has ever moved me like this one...thanks for sharing
 
Back
Top Bottom